Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NA THOBIAS MWANAKATWE 9th March 2012 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu, juzi aliweka...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Jamani hii adhabu kweli inatosha?! MKURUGENZI wa Halamshauri ya Wilaya ya Karagwe, Consolatha Kamuhabwa, amevuliwa wadhifa huo na kubaki katika kazi yake ya awali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TazamaUKURASA HUU
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Utaitwa MYCELL na unatarajia kuanza kutoa huduma zake ndani ya mwezi ujao jijini dar.Matarajio ya baadaye ni kusambaza huduma zake nchi nzima.TBC1
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kikundi cha watanzania wanaojiita wanaharakati wazalendo leo kimeitisha mkutano na waandishi wa habari na kutangaza azimio la kufanya maandamano siku ya Jumapili kwa lengo la kulaani mgomo wa...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa wanajiita Pushmobile, Ni wezi, na matapeli wakubwa, wananitumia Sms za job alert tangu mwaka 2010, nimejaribu kujitoa (unsubscribe) lakini wapi.! Nilitembelea tigo pale mlimani city...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inakuwaje inapotokea ajali ikaua watu kumi utamsikia JK katuma salamu za rambirambi na kwenda kuwasalimia majeruhi ila madaktari wakigoma wakafa mamia anakaa kimya, basi hata kuwatembelea hao...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Madaktari wakwepa kutoa huduma Wagonjwa wakimbia, maafa yaja Kikwete kuzungumza na wazee leo Rais Jakaya Kikwete Wakati hali ya huduma katika hospitali kuu nchini ikizidi kudorora...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
WanaJF Mtabiri maarufu Nabii Joshua alitangaza kuwa Mugabe hamalizi siku 60, tangu siku ya tangazo, Jan 2012. Bado hazijaisha? Mbona hatusikii msiba wa baba wa Taifa la Zimbabwe? Nauliza maana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo tarehe 8 Machi 2012 ni siku ya kimataifa ya wanawake duniani.Ni siku inayopewa heshima ya kipekee kimataifa na kitaifa kuwaenzi wanawake na kutambua michango yao katika nyanja mbalimbali hasa...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Hivi hawa wazee ni wa Dar es salaam? au ni wazee wa CCM wa mkoa wa dar es salaam? mbona tunadanyana sana hii danganyika! hizi sizo enzi za chama kimoja.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kaka zangu kwa kweli mnatia kichefu chefu sana yaani mlivyokuwa mnajikomba kwa lowassa laiti angekuwa amewapa hata lakimoja ya vaistry ningewaona wa maana lakini najua hata 500 amjapata tofauti...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Waziri mkuu alisema wamejipanga vizuri sana katika mgomo huu wa madaktari, sasa inakuwaje tena wanaenda mahakamani kusitisisha mgomo, nilidhani wataleta madaktari kutoka nje ya nchi na pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa iliyotolewa na TBC kuwa madaktari wa bugando wamesitisha mgomo kwa kile walichokiita kuchoka kuburuzwa si za kweli, ni propaganda ya watu fulani kwa lengo la kujisafisha na kuupotosha umma...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi, hapa nilipo niko hospitalini, hali yangu kiafya sio nzuri ukijumuisha na huu mgomo wa madaktari hali yangu ndo inazidi kua tete kiujumla.ombi langu kwnu marafiki zangu ni, kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!! haaa! sawa hiyo!!!!!!!!! aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!! anamkwepa mponda...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Sikuwepo jijini Dar es Salaam kwa miezi miwili hivi. Nimerudi jana nimekuta kuna ukatwaji wa umeme kuanzia asubuhi mpaka saa 4 usiku, hasa maeneo ya hapa Magomeni, sijui huko kwingine. Kitu cha...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
bango langu hili apa!!!!! kwenye msiba wangu marufuku kikwete kuongoza mazishi!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri mkuu alisema wamejipanga vizuri sana katika mgomo huu wa madaktari, sasa inakuwaje tena wanaenda mahakamani kusitisisha mgomo, nilidhani wataleta madaktari kutoka nje ya nchi na pia kuajiri...
1 Reactions
2 Replies
921 Views
Madktari wapo kwenye mgomo usionakikomo. Mengi yanasemwa kuhusiana na mgomo huu. Wapo wanaodai madaktari wamekosea KUMWAMRISHA rais kwamba awatimue kazi waziri wa afya na naibu wake. Wapo wanaoona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…