Siku 60 za Mugabe hazijaisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku 60 za Mugabe hazijaisha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dopas, Mar 9, 2012.

 1. D

  Dopas JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  WanaJF
  Mtabiri maarufu Nabii Joshua alitangaza kuwa Mugabe hamalizi siku 60, tangu siku ya tangazo, Jan 2012. Bado hazijaisha? Mbona hatusikii msiba wa baba wa Taifa la Zimbabwe?
  Nauliza maana huyo Joshua pia ni mtabiri wa baadhi ya watz, kina comrade EL. Wasije nao wakaingizwa mjini....
   
 2. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yule "Nabii" kwa jinsi ninavyoelewa mimi,haongei maneno ya aina hiyo kama mnajimu mf. Sheikh Yahya. Kwamba labda ni ntu wa kutafuta umaarufu la hasha..

  Bahati nzuri mi naiona Channel ya Emmanuel TV. Yaani hayo ni kama by the way tu..

  Kwanza hakusema Mugabe atafariki.. Ila wachambuzi wa masuala ya kisiasa waliona kuwa inaweza kuwa Mugabe,ama Abdulaye Wade kutokana na umri wao.. Lakini huenda yeye anamfahamu(si Nabii?),lakini hawezi kumtaja...

  Niliprove yule baba ni wa level nyingine,siku ya fainali ya Zambia na Ivory Coast...
  Akasema baadhi ya watu hapa duniani wa aina yake huoneshwa mapema na Mungu mambo mbalimbali. Akawauliza waumini wake wanataka awahadithie mechi hiyo maana yeye ameshaiona?

  Wakajibu ndiyo! Akacheka,akasema inashangaza katika dakika ya 25 kipindi cha kwanza,mchezaji anabaki na kipa na hakuna mabeki,lakini anapiga "over the bar"...

  Akasema kwa kosa hilo,neema ikahamia kwa wenzao ambao wangeshinda mechi hiyo.Akaongeza kuwa Mungu anataka kuwafariji kwani kile kisa cha kuwapoteza wenzao kwa ajali ya ndege,ulikuwa ni msiba mkubwa sana kwao..

  Jioni yake,ni kweli Drogba alipata penati dk ya 25,na alipiga juu ya mwamba wa goli!
  Yaliyofuata kila mmoja anayajua..
   
 3. A

  Anold JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Inawezekana habari hizi umesikia kama wengine walivyosikia, kama una muda ingia kwenye mtandao Tafuta TV Emmanuel (SCOAN) angalia sehemu ya utabiri ambao baadhi ya watu wanadai utabiri uliotolewa unamhusu Mugabe, kilichoelezwa ni tofauti na unachokiuliza kwa kuwa TABIRI zote zimewekwa ila sijaona unaomhusu Mugabe. Tafadhali ingia kwenye hiyo website utakubaliana na mimi kwamba hakuna sehemu aliyotajwa Mugabe na kama ipo basi iwekwe jamvini tusubiri hizo siku 60.
   
 4. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na mtabiri wangu wa karibu amesema ana miaka mingine 10 na zaidi.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwanini Unamuwazia Mugabe hayo?
   
 6. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Alichosema kua kuna kiongozi wa africa atafariki ndani ya hizo siku sasa tujiulize kuna kiongozi aliefariki wa afrika ndani ya hizo siku? watu walimuhusisha mugabe kwani ni mzee na ni mgonjwa
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Roho Mtakatifu ninaemfahamu hawezi kumwambia binadamu kuwa fulani atakufa lini.
  itakuwa roho ya mpiga kristo, nyakati za mwisho manabii watakuja wengi tu wa uongo na tunao tunaishi nao
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kazi za utabiri ni za kishetani
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  "God loves us, you should pray for one African
  head of state, when I say President… again the
  sickness that is likely to take life; sudden death,it could be sickness being in the body for a long time but God showed me the country and the place but I’m not here to say anything like that.”
  “When it’s too close and there is nothing I can
  do about it, I’ll mention it clear; the place, the
  country and the person so that they can see
  what they can do to rescue him. Okay, it is very close. Jesus loves us. Wave your hand, wave your hand,”

  Hicho ndio kilichotamkwa. Mwenye ufahamu na uelewa atazingatia haya:
  1.Hakuna Jina la Rais lililotajwa wala nchi.
  2.Huo sio utabiri ni unabii.
  3.Hakuna aliyelazimishwa kuamini.

  Muhimu zaidi Watanzania tujifunze kuwa wadadisi na wafuatiliaji wa mambo ili kuepuka kupotoshwa au kudanganywa.
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Bora umeweka neno unayemfahamu wewe.
   
 11. d

  donasheri Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naona watu wanapotosha yale yaliyosemwa na aat TB Joshua.
  Kwanza ni dakika ya 25 kipindi cha pili cha mchezo (yaani dak 70 za mchezo). Sio dak 25 kipindi cha kwanza.
  Pili utabiri wa kiongozi ya Afrika - jina la kiongozi halikutajwa. Bali TB Joshua alisema ana ugonjwa wa siku nyingi. Atakufa ndani ya siku 90 na sio 60.
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  kwani nani aliyetabiri?
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Alisema mkuu wa nchi "head of state" ambaye pia ni Rais...halafu hizo siku 60 bado hazijatimia.
   
 14. d

  donasheri Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Joshua, who commands a large following in Nigeria and beyond, said an African leader would die within 60 days. He failed to hint on the location of the leader, leaving wild guesses to fly around.

  "God loves us, you should pray for one African head of state, when I say President… again the sickness that is likely to take life; sudden death, it could be sickness being in the body for a long time but God showed me the country and the place but I'm not here to say anything like that."

  "When it's too close and there is nothing I can do about it, I'll mention it clear; the place, the country and the person so that they can see what they can do to rescue him. Okay, it is very close. Jesus loves us. Wave your hand, wave your hand," TB Joshua was quoted as saying by the online publications.
   
 15. d

  donasheri Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  TB Joshua prophesied Zambia's historic AFCON Victory
  By Zamfoot


  February 18, 2012
  Comment

  As Zambians revel in the joy of their first African Cup Of Nations (AFCON) triumph, a video is circulating the internet with claims that Nigerian Prophet T.B. Joshua accurately predicted their victory and Didier Drogba's shocking penalty miss mere hours before the match began.

  Video footage posted by The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN) in Lagos, Nigeria on YouTube shows T.B. Joshua talking on Sunday 12th February 2012, several hours before the match between Zambia and Ivory Coast was due to start.

  "I know you have a game now which you want to watch," Joshua began, speaking in a church service televised live on Emmanuel TV, a station very popular across Africa, especially in Zambia. "Today is the final and you want me to talk about it." Joshua, who similarly predicted Ghana's historic victory in the 2009 U-20 World Cup, said victory would be for the underdogs.

  "Yes, this blessing is for a country you are not expecting; this victory is for a country you are not expecting." With Ivory Coast going into the match as overwhelming favorites, replete with many Premier League and European stars, it is clear who Joshua was referring to.

  Although known for speaking in parables when prophesying, the fact that Joshua was talking about Zambia became even more apparent as he proceeded to explain that God wanted the nation in question to rejoice because of a past tragedy.

  "God wants to make them happy because of the victims of what happened to them in the past. Yes, this is joy; everybody will celebrate. That will make them forget about the past record of what happened to the same country… This is a day of forgetting, and dancing!"

  The last time Zambia reached the AFCON final in 1994, it was just a year after 18 members of Zambia's national football team died tragically in a plane crash in Libreville, Gabon. It was an event that shocked the entire nation and wiped out several of their brightest football stars. En route to the final, the current team had spoken of the strength and inspiration they had gained in remembering the tragedy.

  Joshua went on to mention a specific incident vital to the outcome of the game, remarkably even stating the precise time it was to occur."God showed me the first and second halves. In the second half at 25 minutes there is a mistake… Even if you have the opportunity to enter the television where they are playing, you would enter and flog the player, ‘Why didn't you score this thing?' " You will face the goalkeeper and play it out, over the bar. Face to face with the goalkeeper and you now play it outside. Is that not a big mistake? That is the goal that would have given you the Cup. Now, it is taken to the other side.


  Zambia celebrating AFCON win honouring the fallen heroes
  The ensuing events seemed to follow in the footprints of the prophet's declaration, specifically the penalty miss of Ivorian striker Didier Drogba in the 70th minute, the 25th minute of the second half. The Chelsea FC striker ballooned the ball high over the bar, a miss uncharacteristic of the prolific goal-scorer and one that almost certainly cost Ivory Coast victory.

  With the game ending goalless, a dramatic penalty shoot-out was to decide the victor. As Zambia's Stophira Sunzu emphatically scored his team's match-winning penalty, scenes of chaotic joy rippled across Zambia.

  The tragic events of 1993 were forgotten as victory against the tournament favorite's sparked nationwide rejoicing and celebrations that continued far into the night.

  Prophet T.B. Joshua is well known in Zambia for his accurate prophetic messages and extensive charitable endeavors. Hundreds of Zambians take a pilgrimage to his church in Lagos, Nigeria on a weekly basis, seeking a miracle from God.

  Online videos from The SCOAN website show over 100 prophecies Joshua has given relating to worldwide events such as the death of iconic pop star Michael Jackson and the recent fuel protests in his native Nigeria.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wajinga ndio waliwao!
   
 17. J

  Jikombe Senior Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wewe zako zimebaki ngapi?
   
 18. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Joshua hakutaja jina la mtu, watu ndio walimchongea Mugabe
   
 19. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Tatizo si kubwa.. Nadhani na wewe unaipata hiyo TV..
  Kiukweli,nia yake ni kubainisha accuracy ya "unabii"...kwenye vitu alivyoataja,mfano "dk 25",na "mtu anabaki peke yake na kipa",na" mtu huyo kupiga juu ya mwamba"...

  Ungemsahihisha kutokana na "unabii",na si mechi yenyewe.... Kwa kuwa alifuatilia matokeo,hakuangalia mechi.. Umequote maneno yaliyotamkwa ukayacopy na kuyapaste...wakati huyo alirely kwenye alichosikia na kuona kwenye TV.

  Huenda hata kama angeangalia mechi,asingekumbuka Prophet pamoja na kuwa accurate kama alitaja kama itakuwa kipindi cha kwanza ama cha pili..

  Sanasana ulichomsaidia ni kwenda kuedit post yake...
   
Loading...