Nawaaga...Niko hospital na hali yangu sio nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaaga...Niko hospital na hali yangu sio nzuri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaslaws, Mar 9, 2012.

 1. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana jamvi, hapa nilipo niko hospitalini, hali yangu kiafya sio nzuri ukijumuisha na huu mgomo wa madaktari hali yangu ndo inazidi kua tete kiujumla.ombi langu kwnu marafiki zangu ni, kama ikitokea bahati mbya nimekufa, kwanza naomba mniombee nipumzke kwa amani.

  Pili, watanzania wenzangu mtakao baki hai acheni kulalamika na kuwaraum madaktri. na ninyi pia jifunzeni kudai haki zenu, aman bila uhuru ni utumwa. Hii sio nchi masikin kias cha maasikari wetu kuishi kwnye nyumba kama mabanda ya mbwa, waalim kulala kwnye vyumba vya madarasa, wafanya kazi kulipwa laki na nusu n.k

  Ifkie kipindi sasa tuseme basi inatosha.ifkie kipindi pia hao 2lio wapa uwezo na dhamana ya kutuongoza watuongoze na sio kututawala,vitani wanaokufa sio wote wanausika,najivunia kufa kipindi hki ili wajukuu zangu waje kupata huduma safi za kiafya kwa damu yangu hii ntakayo imwanga..nashukuru...

  HI MSG NIMEIKUTA FB.
   
 2. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nilidhani unakaribia demise, kumbe mambo ya fb!
   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Kwni fb kuna nin mkuu?
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukitangulia mbele ya haki msalimie mwl. baba wa Taifa letu.
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Simulation by rioting Drs!

  Listen Drs. Our time will come! Am telling you it's just around the corner!
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaaa,..............
   
 7. l

  lemikaoforo Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi nashindwaaa kuelewa,wenye matatizo ni wazee wa darisalama au waga ngaa? jameni mbona hivoo au ndo ukwere wenyewe
   
 8. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Alaaaah

  Kumbe unam-beep Mungu. Subiri baada ya dakika kidogo atakupigia kwani simu yake in Voucher nyingi sana kuwapigia watu kama wewe.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  loh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  nilishawaza vingine
  ooophhhffffff!!
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  RIP, to say a few.
   
 11. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  sawa kamanda unakufa kishujaa kabisa najua hata mungu atakulinda huko uendako....
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nakuombea usife mpaka baada ya saa kumi leo ushuhudie kikwete anatangaza kuachia ngazi!!
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nilijua ni wewe mkuu kumbe ni ujumbe tu aaaagrr!..

  poleni sana wote mnaoumwa kwa sasa hivi..
   
 14. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  inabidi sasa tuaply ile theory ya Pasco kuwa watu wanaumwa kwa vile wanajua madokta wapo
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Ukikutana na mwalimu mwambie wale wahuni aliowakataaga kipindi kile ndio wamechukua nchi na nchi imekua pango la wezi na wauaji
   
 16. Manjagata

  Manjagata JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 4,217
  Likes Received: 1,750
  Trophy Points: 280
  Ufe salama mkuu!
   
 17. Marumia

  Marumia JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 649
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ujumbe wa huyu mtu unagusa sana, Mungu amponye arudi kwenye hali yake ya kawaida.. Ts too bad viongozi wetu wamegeuka kuwa wakoloni!
   
 18. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tangulia mbele ya haki mwanangu. Na ukifika huko brake ya kwanza iwe kwa Baba wa Taifa. Mwambie Tanzania aliyoiacha si ilivyo sasa. Viongozi walio madarakani, wanaharakati, na wanasiasa wanapigana vikumbo kicha uchao si katika kuwatumikia wananchi bali kwa uadilifu na nguvu zao zote, bali katika kutafuta na kubuni mbinu za kushibisha matumbo yao, hata kama vitendo hivyo vina taathira mbaya kwa umma. Na katika sekta za utumishi wa umma, uadilifu na utumishi uliotukuka ni misamiati iliyopitwa na wakati...mabingwa wa taaluma wapo radhi kuweka rehani maisha ya wagonjwa ili kushinikiza maslahi bora. Na kile chama ambacho alishawahi kusema si 'mama yake' kinazidi kukata mawimbi ya kwenda mrama kwani matajiri, mafisadi na walanguzi wamekigeuza kuwa ni pango lao la kupanga mikakati ya hujuma. Hata Mwambie wananchi sasa wanaanza kuamka na kupaza sauti za kudai haki zao baada ya kugundua kuwa kumbe hawataipata kwa kubembeleza. Na vyama vya upinzani mwambie vichache vina mvuto na kuteka imani ya watu..lakini tatizo la ubinafsi km lilivyo katika Chama chako pia lipo katika vyama hivi vya mageuzi...wanadhani kuwa nyadhifa za juu ni kwa ajili ya wateule tu.
   
Loading...