Imekuwaje tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imekuwaje tena?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nexus white, Mar 9, 2012.

 1. nexus white

  nexus white JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [h=2]Waziri mkuu alisema wamejipanga vizuri sana katika mgomo huu wa madaktari, sasa inakuwaje tena wanaenda mahakamani kusitisisha mgomo, nilidhani wataleta madaktari kutoka nje ya nchi na pia kuajiri wapya, kweli nimeamini serikali ya watukutu haifunzwi daima.[/h]
   
 2. U

  UMMATI Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali ipi mbona nchi hii tangu 2005 haina serikali!!!!!!!
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye red mpango wenyewe aliokuwa anasema Pinda ndiyo huo wa kuitumia Mahakama.Hovyo kabisa utawala wa baba Mwanaasha.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Subirini mipasho muda mchache atakapohutubia wazee wa jiji la D'Salaam.
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia ameahirisha kuongea na vikongwe mpaka kesho saa 5 ni kweli?
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mods unganisha huu uzi na ule original. mnajaza server tu unnecesarly.
   
Loading...