Manji mbioni kuanzisha mtandao wa simu.

Manji mbioni kuanzisha mtandao wa simu.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
Utaitwa MYCELL na unatarajia kuanza kutoa huduma zake ndani ya mwezi ujao jijini dar.Matarajio ya baadaye ni kusambaza huduma zake nchi nzima.TBC1
 
wellcome manji,vipi rangi itakua ile ya jangwani nn maana kwenye tbc pale nyuma ya wale wahindi ilikua kijani
 
gud,bora atoe tuachane na hii mitandao ya kichovu
 
My Cell itakua mwisho tandale kwa mtogole tu!! Lisence zimeshaisha sasa sijui anatumia frequency ipi maana zote za GSM zimekwisha!!
 
Utaitwa MYCELL na unatarajia kuanza kutoa huduma zake ndani ya mwezi ujao jijini dar.Matarajio ya baadaye ni kusambaza huduma zake nchi nzima.TBC1[ /QUOTE]

na matuhuma ynayomkabili

itabidi huu mtandao atumie yeye na wahindi,,,,,waarabu wenzie......watu kwa sasa wameelimika kipindi cha kususia bidhaa huduuma za mafisadi kimefika,,,,,,,ni vema akamuombe ushauri mama rwakatare
 
afadhali wazidi kushusha gharama labda huyu atasema intanet bure..fulu kujichia jf
usidanganyike kwamba kutakuwa na kushushwa kwa gharama! Hawa watu wote wanataka faida. Watakaa na kujadiliana! Tofauti katika gharama zao itakuwa kidogo sana! Pengine hutaifill kabisa!
 
Utaitwa MYCELL na unatarajia kuanza kutoa huduma zake ndani ya mwezi ujao jijini dar.Matarajio ya baadaye ni kusambaza huduma zake nchi nzima.TBC1

finally...

niliwahi kuajiriwa hapo QGL kati ya 2006-2007, huo mpango ulikuwepo since then na licence alikuwa nayo lakini haukuwahi kuwa operational.
 
Aanzishe mara ngapi? SASATEL si ni ya kwakwe
Sasatel ni ya Prof mmoja mtanzania na Mama Rwakatare....Manji hausiki na Sasatel kwinshnei kabisa sasa wanatafuta nani wa kumuuzia. Ama watafunga biashara baada muda mfupi sana ujao!!!!Manji uje utanue wigo wa ajira
 
Utaitwa MYCELL na unatarajia kuanza kutoa huduma zake ndani ya mwezi ujao jijini dar.Matarajio ya baadaye ni kusambaza huduma zake nchi nzima.TBC1

mimi namkubali yusuf kimtindo kwa kuwa investment zake anazifanyia hapa hapa nyumbani tofauti na mafisadi wengine,maana sote tunaiona na kuifurahia ile SHOPPING MALL yake ya kisasa aliyoijenga pale Quality nyerere road,wabongo kibao wamekula ajira,yanga kila mtu anajua na sasa huu mtandao ambao utaajiri watz wengi,dogo kichwa tuache utani.
 
Sasatel ni ya Prof mmoja mtanzania na Mama Rwakatare....Manji hausiki na Sasatel kwinshnei kabisa sasa wanatafuta nani wa kumuuzia. Ama watafunga biashara baada muda mfupi sana ujao!!!!Manji uje utanue wigo wa ajira

Leta ushahidi kama unao, SASATEL Manji anahusika, ni yakwake!
 
Back
Top Bottom