International Women's Day 2012: Mwanamke gani unamuona ni mfano wa kuigwa Tanzania na kwanini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

International Women's Day 2012: Mwanamke gani unamuona ni mfano wa kuigwa Tanzania na kwanini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WomanOfSubstance, Mar 8, 2012.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Leo tarehe 8 Machi 2012 ni siku ya kimataifa ya wanawake duniani.Ni siku inayopewa heshima ya kipekee kimataifa na kitaifa kuwaenzi wanawake na kutambua michango yao katika nyanja mbalimbali hasa kimaendeleo.

  Madhumuni ya maadhimisho haya ni kupima utekelezaji wa maazimio, matamko na mikakati mbalimbali ya kimataifa inayohusu masuala ya wanawake. Aidha ni siku inayotumiwa pia kuangalia changamoto zinazowapata wanawake na kuziwekea mkakati wa jinsi ya kuzitatua.


  Maadhimisho ya siku hii yalifanyika kitaifa kila mwaka kuanzia mwaka 1997 hadi mwaka 2005 na baada ya hapo serikali ilipitisha uamuzi kuwa yafanyike kila baada ya miaka mitano na uamuzi huu ulipitishwa ili kutoa muda wa kutosha wa utekelezaji wa maazimio mbalimbali na kuweza kupima mafanikio ya utekelezaji wa shughuli hizo za kila baada ya miaka mitano.
  Kila mwaka unakuwa na kauli mbiu kimataifa na kitaifa.

  [​IMG]

  Kimataifa Umoja wa Mataifa umekua na kauli mbiu zifuatazo:


  - 2012: Empower Rural Women – End Hunger and Poverty
  - 2011:
  Equal access to education, training and science and technology
  - 2010:
  Equal rights, equal opportunities: Progress for all
  - 2009:
  Women and men united to end violence against women and girls
  - 2008:
  Investing in Women and Girls
  - 2007:
  Ending Impunity for Violence against Women and Girls
  - 2006:
  Women in decision-making
  - 2005:
  Gender Equality Beyond 2005: Building a More Secure Future
  - 2004:
  Women and HIV/AIDS
  - 2003:
  Gender Equality and the Millennium Development Goals
  - 2002:
  Afghan Women Today: Realities and Opportunities
  - 2001:
  Women and Peace: Women Managing Conflicts
  - 2000:
  Women Uniting for Peace
  - 1999:
  World Free of Violence against Women
  - 1998:
  Women and Human Rights
  - 1997:
  Women at the Peace Table
  - 1996:
  Celebrating the Past, Planning for the Future
  - 1975:
  First IWD celebrated by the United Nations


  Kauli mbinu ya T
  anzania mwaka jana ilikuwa ni ‘Fursa sawa katika elimu, mafunzo, sayansi na teknolojia; njia ya wanawake kupata ajira bora’. Mwaka huu ni: “Ushiriki wa vijana wa kike ni chachu ya maendeleo”

  Mwaka huu 2012 IWD imetimiza miaka 100. Kwa Tanzania maadhimisho kitaifa hayana zaidi ya miaka 20! Kila mwaka mambo yanaenda yakiongezeka ikiwemo uelewa zaidi kuhusu siku hii maalum.

  Ninapendekeza nasi JF tuwe na shamrashamra za kimtandao kuadhimisha wanachama wanawake katika JF.Tunaweza kuanza kwa kuwatambua wenzetu waliopita mchakato wa kuchaguliwa vinara wa majukuwaa mbalimbali kama - AshaDii ( WoY 2012) na Lizzy ( Queen of MMU).Binafsi nawapongezeni sana kwa kutambuliwa na kupewa heshima ya kuwa washindi kwa mwaka huu. Aidha natoa pongezi zangu binafsi kwa waandaaji wakiongozwa na Mkuu Superman. Keep it up!!

  Vilevile tunaweza kuangalia wanawake wengine nje ya mtandao ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa mfano wa kuigwa na kuwafanya wastahili kutambuliwa.Huenda ikawa namna moja ya kupata role models kwa wanawake wengine.

  Tunaweza kuangalia makundi yafuatayo:
  1.Viongozi katika sekta binafsi na Umma
  2. Wanawake wafanya biashara wakubwa na wadogo
  3. Wanawake kwenye sanaa za aina zote
  4. Wanawake .......... ongezeni categories nyingine...

  Kama wazo linakubalika basi tuchangie....
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Huku Arusha sisi tumempendekeza PRETA! Lakini namshauri asinyanyapae wanaume!
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Hizi kauli mbiu tathmini yake inakuwaje? kwa mfano hiyo ya mwaka jana tunaweza kujuzwa ilifanikiwa kwa kiasi gani au hata kutofanikiwa basi kwa kiasi gani?

  samahani kama nimeenda kombo kutoka uliyoanisha kwa ajili kuchapuza mjadala
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kutupa mpendwa wetu PRETA awakilishe Arusha.Hebu mwagie sifa zake basi ili ziwahamasihse wengine watake kuwa kama Preta.

   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Hili wazo lako la kudadisi mafanikio ya hizo kauli mbiu nimelipenda.Nina hakika wahusika watakuja kutupa darasa.
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  mimi nampendekeza my wife!!
  Usiniulize kafanya nini, kwani ni mengi hata siwezi kuyaeleza.
  Mbona kwa Mungu tunasema ametenda maajabu nami siwezi kueleza na inakubalika kwamba ni amazingly? Even to my wife did soo many amazing things that I dont have a language to explain.
  .
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Mama Yangu!!
   
 8. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anna semamba makinda
   
 9. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni Klyn, anvyonsa mzee mrija bila bugudhi ha ha ha ha
   
 10. m

  mshingantahe Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  women's are capable na imefikia kipindi no favours let them fight so that they can feel the heat.
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna thread ilirushwa wiki hii katika jukwaa la habari na hoja mchanganyiko (Link). Ni mchakato uliendelea vijijini kumpata MAMA SHUJAA WA CHAKULA. Nadhani initiatives kama hizi ni nzuri sana na za kuiga sababu zinaonesha wazi hiyo theme ya kimataifa ya mwaka huu 'empower woman-end hunger and poverty'.

  Nafaham kua kuna watu wanao fikiri kua haina maana kua na sikukuu maalum ya wanawake. Watatoa sababu (I hope) ila binafsi naamini kua ni muhimu sababu ina 'raise awareness on challenges faced by communities as a result of woman marginalization'.

  Sio challenges za wanawake peke yao, ni challenges za wanawake na wanaume. Mfano: Wanawake vijijini wanafanya kazi 10hr kwa siku, sometimes even more. Ikiwa community itaweza kupata namna ya kufaidika tokana na kazi hizo, maisha ya vijijini yataboreshwa sana. BAhati mbaya, kazi ya wanaume ndio inayo thaminika and as a result only male related type of work receive attention and promotion from the public service (and budget).

  Mfano wa mama shujaa wa chakula ukiweza kua duplicated in other rural areas matokeo yake yatanufaisha wanawake na wanaume wengi vijijini na yataweza kupunguza kwa kiasi kikubwa njaa na umasikini.
  Kwa hiyo mimi nampendekeza Bi Ester ambae ndie alichaguliwa kama Mama shujaa wa chakula mwaka huu.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Binafsi Ananilea Nkya na Kijo Kisimbo wamenivutia sana kwani ni "women of substance". Niliwaheshimu zaidi baadaya kuongoza maandamano - japo siyo makubwa - ya kuishinikiza serikali baada ya ule mgomo mwa kwanza. They are my women heroes!! Sasa hivi nimeanza kupata hisia kuwa yawezekana mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini yanaweza kuletwa na wanawake siyo wanaume! Inanikumbusha sana enzi za kina Prof. Wangai walipoanzisha mwamko wao hadi kusababisha KANU kuporomoka kule Kenya.

  Binafsi nawaita wananchi waangalie tu wanawake wanafanya nini katika harakati kwani yawezekana kabisa wao ndio ile x-factor!
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  [TABLE="width: 0, align: center"]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]
  INTERNATIONAL WOMEN'S DAY SPECIAL EDITION
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 492"]Enough Project Newsletter

  March 8th is International Women's Day.[/TD]
  [TD="width: 110"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][​IMG]Betty Bigombe: The 'Mother' of Uganda's Acholi

  In a world where war is considered a male domain, Ugandan cabinet minister and Member of Parliament Betty Bigombe has broken the mold. In 1993, Bigombe initiated peace talks between LRA leader Joseph Kony and the Ugandan government, and she continues to advocate tirelessly for survivors of LRA violence.
  Read More >[/TD]
  [TD="width: 4"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][​IMG]Busseina: Refugee, Student, Teacher, Inspiration

  Busseina, 18, is a smart student with a bubbly personality and a fierce determination to break barriers. She is also a Darfuri refugee living in Djabal camp in eastern Chad. Busseina teaches at her former primary school, while continuing her own studies. She dreams of becoming a doctor.
  Read More >[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][​IMG]Denise Siwatula: Representing Rape Survivors in Eastern Congo

  Denise Siwatula-one of the few women who has graduated from law school in eastern Congo-dedicates her life to helping Congolese rape survivors seek justice. Despite serious challenges, Denise goes to work every day with a smile on her face and a strong conviction in her heart.
  Read More >[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][​IMG]
  Lucy Shama: Why We Must Work to Empower the Women of Sudan

  Lucy Shama, who is originally from Sudan but now resides in the U.S., has quietly become the leading voice for women in Blue Nile. She serves as the leader for the Blue Nile Women's Group and shares the concerns of local women who are in urgent need of education and empowerment.
  Read More >[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][​IMG]
  Khadija: Somalia's Children Caught in the Crossfire

  In the midst of one of the worst conflicts on Earth, the voices of women and children have gotten lost in the crossfire. An interview with 14-year-old Khadija and the mother of 2-year-old Zainab offers a glimpse into how the war is impacting the day-to-day lives of women and children in Mogadishu.
  Read More >
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]Get Involved[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]In honor of International Women's Day, share these five stories of inspirational women who are making a difference in the lives of women and girls in Sudan, Congo, Uganda, and Somalia.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Asante my dear friend RR!
  Umenikuna sana maana hujaleta maneno matupu yasiyo na ushahidi.Hadithi za wanawake hawa zinasisimua na kutoa changamoto.Ukiangalia wanawake hao wameweza kufanya makubwa licha ya mazingira magumu wanamoishi.Kama wao wameweza, inakuwaje sisi wanawake watanzania tunaoogelea kwenye bahari tulivu tunashindwa?

  Kuna wachangiaji hapo juu wamewataja mama na wake zao kama wanawake wanaostahili kuenziwa.Hawa nawapongeza pia kwa sababu mama aliyekuzaa wewe au mimi ni wa kuheshimiwa sana.Angetaka asingekuzaa, angetaka asingekutunza ukiwa mgonjwa au kukulinda na hattari mbalimbali na pengine wala usingekuwepo kwenye uso wa dunia.Kwa kweli ni haki kabisa tuwaenzi mama zetu, na wanaume muwaenzi wake zenu.Wakina baba/kaka nanyi si mnajua ni watoto zetu licha ya kuwa waume zetu? Sisi ni mama zenu.Mkituenzi ni sawa kabisa.
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi tuwekeana kwanza vigezo vya watu wanaotakiwa kuigwa napendekeza

  a. awe ameweza ku-excel kwenye kazi zake na ndoa yake (family) meaning awe mama mwema

  b. awe ameweza kusaidia wanawake wenzake na jamii pana katika shughuli zake (kujitolea)

  c. awe ameweza kuwa anspirations ya wasichana wengine kwa tabia njema za kitanzania (african values)


  Kwa kutumia vigezo hivyo naona hawa wafuatao wanafaa

  a. Hellen Bisimb b. Hawa Ghasia
   
 16. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  hata mimi aise. Nakumbuka alinifinya sana nilipokuwa nataroka shule,alinirekebisha aliponiona naenda tofauti na maadili. Amenisomesha toka primary mpaka kuhitimu f6,nilipoingia chuo akapumzika japo hakuacha kunipa wosia wa maisha ya baadaye. Wakati huo wote pesa yake alikuwa anaitunza ili asikose ya kunipa, dingi dah!
   
 17. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mimi wa kwangu ni Rejia Mtema (RIP) Kauli mbiu ya 2003 na 2005 zilitengeneza jina GENDER SENSITIVE! Lala kwa amani mama ...
   
 18. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo ongeza na Yule mama mkurugenzi Wa TWB, Tanzania Women Bank jina limenitoka

   
 19. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  it was as if I am reading your mind..

  Nilisema,nikifungua hii thread,nitamwandika Hellen na Ananilea...

  They are the best kwa kweli..
   
 20. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Tuendelee..
  Tunaweza kupata majina tukayapeleka kunakohusika ili watambuliwe rasmi...
   
Loading...