Hi hawa ni wazee wa namna gani!!..

Hi hawa ni wazee wa namna gani!!..

sifugi naloga

Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
28
Reaction score
2
Hivi hawa wazee ni wa Dar es salaam? au ni wazee wa CCM wa mkoa wa dar es salaam? mbona tunadanyana sana hii danganyika! hizi sizo enzi za chama kimoja.
 
Ni wazee wasiokua na muelekeo,wanaenda huko kwa ajili ya kupanda costa na kupewa Tshirt pamoja na buku 5.
 
Back
Top Bottom