Imekuwaje tena au ndo mipango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imekuwaje tena au ndo mipango

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nexus white, Mar 9, 2012.

 1. nexus white

  nexus white JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waziri mkuu alisema wamejipanga vizuri sana katika mgomo huu wa madaktari, sasa inakuwaje tena wanaenda mahakamani kusitisisha mgomo, nilidhani wataleta madaktari kutoka nje ya nchi na pia kuajiri wapya, kweli nimeamini serikali ya watukutu haifunzwi daima.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  vp wanaenda mahakamani!??
  kilaza yule hii mbaya sana!
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ikibidi waende the Hague.
   
Loading...