Ndugu zangu kuuliza si ujinga. Kukatwa huku kwa umeme hapa Dar tatizo ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zangu kuuliza si ujinga. Kukatwa huku kwa umeme hapa Dar tatizo ni nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Mar 8, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sikuwepo jijini Dar es Salaam kwa miezi miwili hivi. Nimerudi jana nimekuta kuna ukatwaji wa umeme kuanzia asubuhi mpaka saa 4 usiku, hasa maeneo ya hapa Magomeni, sijui huko kwingine. Kitu cha kushangaza naona kila mtu karidhika, watu wote wanaona kawaida tu. Hivi tatizo ni nini hasa? Mbona juzi nimepita Mtera kuna maji ya kumwaga? Au Tanesco ndiyo wanaunga mkono mgomo wa madaktari kiaina?
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Sio Dar tu unakatika ni tatizo la nchi nzima.
  Ngeleja hahusiki lakini.
  .
   
 3. howard

  howard Senior Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yaani bora hata mmeanzisha huu uzi mimi mpk nimepata hasira huku mtoni kijichi unawashwa baada ya dakika kadhaa unarudi yaani mpk kero, nikajua ni kwetu tu kwa kuwa ni mbagala, wakiunguza vitu vya watu hawachukuliwi hatua yoyote ile, bongo inakatisha tamaa maana watu wako kawaida NA WATU WAMESHAJIZOELEA.
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni CCM tu
   
 5. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  nadhani waTanzania tumezoea maisha ya dhiki na haki na hatma ya maisha yetu tumekabidhi kwa watu ambao hawajali hata tone. Ifikie wakati watanzania tuseme NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
   
 6. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Umeme unakatwa tuuuu, bila hata ya info yoyote!!!
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  WaTz tuchukue uamuzi gani ktk hili? Maana kila kukicha matatizo yanaongezeka kwani sisi tulimkosea nini Mungu mpaka tukose umoja wa kuungana na kukataa maovu yanayofanywa na serikali hii legelege?
   
 8. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo mimi ni kwamba kuna marekebisho ya nguzo kuanzia pale Morroco upande wa sheli zinahamiashiwa ng'ambo ya pili ili kupsha utanuzi wa barabara ambao utakua ni wa njia nne iungayo had Tegeta"
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  aaaaaaah kijichi ni noma, nilishinda huko weekend moja yaani wanakata na kuzima kama mtoto anachezea swichi, kata zima kata zima mpaka nikahisi sipo dsm
   
 10. C

  Chokler Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni noma yetu wote wazee hata hu Arusha huo upuuzi bado unaendelea mi nadhani hilo jimbo la Ngeleja linatakiwa kumuwajibisha mbunge wao kabla haijawa mbaya wanuombe mkutano then wamuulize tulikuchagua ukatuadjibu au ukatu pooze na makali ya maisha?? Akijibu wamuwajibishe coz ni mpumbafu......
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni CHADEMA hata mafuriko na mgomo wa Drs ni wao!!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Siku zinavyozidi kwenda na ndio sababu za kuichukia CCM zinaongezeka, na nyumbani kwangu nimeshawapa semina kuhusu maadui wakuu watatu wa Taifa pale waiongeze na CCM adui wa nne.
   
 13. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ndiyo mpaka saa 4 za usiku?
   
 14. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  wanafanya zaidi udiku kuepusha muingiliano na foleni za magari
   
 15. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sasa kama wanafanya kazi usiku mbona wanakata kuanzia asubuhi?
   
 16. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ngeleja na umeme kwa Kakobe
   
 17. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ngeleja bila toba umeme uta kung'oa uwaziri ,angalia hili
  la Madaktari linaweza kuvunja b b
   
 18. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ngeleja bila toba umeme uta kung'oa uwaziri ,angalia hili
  la Madaktari linaweza kuvunja b b
   
 19. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ngeleja na umeme kwa Kakobe
   
 20. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  lalamika mwaya ngeleja atasaini mkataba mwingine kwa wawekezaji wa nje fasta halafu sisi tufe na bei.
   
Loading...