Zaidi ya miezi 3 mji wa Moshi umegubikwa na uhaba mkubwa wa maji kila kona wamama wanazunguka na ndoo wakitafuta maji mchana kutwa hali ambayo haijawahi kutokea mjini hapa, habari zilizonifikia...
Ndugu zangu,
Mimi bado najiuliza hivi Malima alikuwa anamaanisha nini aliposema kwamba silaha mbili zilizokoswakoswa kuibwa ni mtaji mkubwa wa maisha. Binafsi kwa kiongoozi mkubwa kama yeye...
Habari wana nzengo.... jana nilikata tiketi basi linaitwa COAST LINE kutokea Arusha kwenda Mwanza, nimeamka saa11 na saa11.30 nilikua tayari stand nilivyofika stand konda nikamwonyesha tiketi...
Ukisikiliza maelezo anayoto raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania unapata picha kwamba mifumo yetu ya Tiba ni mizuri kama nchi zingine duniani.
Asichoweza kueleza ni kwa nini viongozi wa nchi...
I. Nimekumbuka wale jamaa walio-engineer Mapinduzi,nadhani 1983-84.. Baadaye nitaweka jina lake. "Uncle somebody" walikuwa na ma-nickname wengine kama ya Kiingereza.
II. Naomba radhi kwa...
Kama humu ndani kuna watu wanafanya kazi star tv......kwa kuonyesha mapokezi ya mueshimiwa profesa ibrahim lipumba mungu awabaliki .........ningekuwa cha kuwapa ningewapa hata elfu 80......kwa...
wanajamii forum leo wakati nakatiza maeneo ya ubungo, ghafla zikapita trekta mbili zikitokea morogoro road zikaelekea mandela road, zilikua zimebeba yale makontena marefu kabisa. Swali ni kwamba...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Madaktari iliyo tolewa leo, imedhihirisha kuwa rais hakuwa anajua madai halisi ya madaktari mpaka alipoambiwa jana baada ya kukutana na madaktari hao,
Nimejaribu...
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima ameibiwa vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.3milioni (Hapa yupo safarini je akiwa home) katika Hoteli ya Nashera mjini hapa.
Kaimu...
Sikuya jumamosi ilikuwa ni ya vichekesho kwangu tangu nianze kuangalia mpira
kwanza kulikuwa na uhaba wa tkt..muda mfupi gari ya hiace ikaingia ndani ikaenda
kukaa kwenye chuma na akashuka polisi...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, (TCU) imesema iwapo itasimamia ipasavyo sheria yake Vyuo Vikuu vya Tanzania vitalazimika kufungwa kutokana na kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri.
Tamko hilo limetolewa...
Leo ni siku ya tatu askari wa msumbiji waliotoka makao makuu ya mkoa huu wa cabo delgado wanafanya uonevu mkubwa kwa watanzania washio katika wilaya hii ya montepuez kazi yao wakikukamata ni...
Huu mgao waumeme ambao tena kwasasa hauna ratiba wala taarifa utamalizwa lini katika nchi hii?Inafikia hata watu wao wamapokezi wanajichanganya kujibu! Unapiga wanakwambia tatizo ninguzo unakaa...
Makamanda wapambanaji wa jeshi la aridhini ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo ndani ya muda wa wiki moja wametikisa kisawasawa katika mji wa kiwila mbeya(kuna kata ya uchaguzi pale kiwila)...
Toka nimekaa dar-es-salaam mwaka wa 12 sijawahii ona mvua kubwa ya namna hii.
Ni mvua ambayo, imeambatana na upepo mzito na radi za hapa na pale.
MUNGU WAKUMBUKE WATU WA MABONDENI YASIJE WAKUTA...
Mheshima Malima, rai yako kuwa silaha ni mtaji tumeipokea kwa mikono miwili. Hii ni kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira. Pamoja na kuwa umesema jambo jema kwa ajili ya ukombozi kutoka adui...
Hii ilikuwa ni kauli ya mh.Mbowe katika uzinduzi wa kampeni za chama chake pale leganga.
pia alisema wabunge wa CCM ni weupe ie hawana kitu upstair.
My take:Mbowe ni kiongozi mkuu wa kitaifa...
Nimeangalia clip ya video iliyokuwa posted, kuanzia dakika 2:30, inayohusiana na kuvunjwa kwa Hoteli aliyolala Mheshimiwa na inaonyesha dhahiri ya kuwa mtu aliyevunja hiyo Hoteli alivunja akitokea...