Watanzania msumbiji wananyanyasika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania msumbiji wananyanyasika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mavella, Mar 12, 2012.

 1. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Leo ni siku ya tatu askari wa msumbiji waliotoka makao makuu ya mkoa huu wa cabo delgado wanafanya uonevu mkubwa kwa watanzania washio katika wilaya hii ya montepuez kazi yao wakikukamata ni kukupiga na kukunyang'anya kila kitu ulicho nacho ikiwa ni pamoja na pesa, simu na chochote kizuri. Inashangaza hata kama una paspoti yani nchi hii haina sheria kabisa na asubuhi hii wamempiga risasi mtanzania mmoja, watanzania wengi wamekamatwa na wengi wamenyang'anywa pesa zao. Sijui daraja la umoja limejengwa la nini.
   
 2. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Poleni sana mkuu.Ni watanzania peke yao wanaokumbana na hiyo dhahma au ni foreigners wote?Mmesharipoti ubalozi wa Tanzania juu ya ya hayo yanayotokea?
   
 3. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,015
  Trophy Points: 280
  Duu!!imenistua nina mdogo wangu yupo PEMBA,polen sana toen taarifa,nazan wamesahu mchango wetu
   
 4. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wengi walioko eneo hili la montepuez ni wabongo na wa west africa kidogo, ubalozi wa TZ Uko mbali sana huko maputo ni zaidi ya km 3000 mawasiliano na ubalosi hamna.
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siwarudi home upesi, kinchi chenyewe uchwara, bora hata ingekuwa
   
 6. dickson longo

  dickson longo JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Poleni sana ndugu Mavella,Nampula nako Renamo wanasumbua,milio ya risasi,mabomu ya machozi.tabu tupu.
   
Loading...