Hodi hodi! Mbona hamfungui eee?

Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
628
93
Huu mgao waumeme ambao tena kwasasa hauna ratiba wala taarifa utamalizwa lini katika nchi hii?Inafikia hata watu wao wamapokezi wanajichanganya kujibu! Unapiga wanakwambia tatizo ninguzo unakaa dakika chache wanakwambia kunawaya umekatika!Wamesahau/wanashindwa kujua kumbe niyuleyule ulie uliza mwanzo!Sasa simu zao zadharula wanazima!Ukikatika tu umeme wanazima simu au ukipiga inakuwa bize mpaka umeme urudi!Hivi wao Tanesco wanajisikiaje?Watujibu maana baadhi yao niwana JF!AU KUNA TENDA YAKUUZA SOLA NAJENERETA ZA UCHINA?Mtujuze!
 
Jamaa wameamua,najoto hili hapa mjini!Ukiamka umelowa kama umenyeshewa!
 
umeingia kwa kasi mkuu,
najua una hasira pole sana,
je wewe si ni mmoja wa watu walioiweka madarakani?
 
umeingia kwa kasi mkuu,
najua una hasira pole sana,
je wewe si ni mmoja wa watu walioiweka madarakani?
Hili jina (Mamndenyi), kwa lafudhi ya kwetu linanirudisha nyumbani kabisa!
Leo ni uzinduzi wa kampeni za magamba! mtaani kwetu umeme full kwa leo.
Wazee wa megawatt wanatisha!
 
umeingia kwa kasi mkuu,
najua una hasira pole sana,
je wewe si ni mmoja wa watu walioiweka madarakani?

Angalia Mamndenyi upepo ulishaonyesha siwakuwaani tena!Siunakumbuka kura zilivyokuwa?Nakwambia utawala wabakora raha sana kama wazembe wengi!Saa hii tungeamshwa then walio shift wote fimbo!Asubuhi wanaenda nyumbani makalio yametuna!
 
Back
Top Bottom