Maendeleo ya kada ya afya

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Ukisikiliza maelezo anayoto raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania unapata picha kwamba mifumo yetu ya Tiba ni mizuri kama nchi zingine duniani.
Asichoweza kueleza ni kwa nini viongozi wa nchi wanakwenda nje hata kwa matibabu ya magonjwa ya kawaida.
Rais anahitaji kwanza kuelimisha viongozi wetu wawe mfano kwa kuthamini huduna zetu za afya kwa kulazwa na kutibiwa wao na watoto wao na jamaa na rafiki zao katika hospitali zetu na wodi zetu, vinginevyo hii ni danganya toto tu.
Wadau tujadili ukweli wa hili.
 
Back
Top Bottom