Makamanda wa CHADEMA, Mtela Mwampamba,Getruda Ndibalema,J.Shonza na Mwakajila watikisa Kiwila, Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamanda wa CHADEMA, Mtela Mwampamba,Getruda Ndibalema,J.Shonza na Mwakajila watikisa Kiwila, Mbeya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TUNTEMEKE, Mar 11, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Makamanda wapambanaji wa jeshi la aridhini ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo ndani ya muda wa wiki moja wametikisa kisawasawa katika mji wa kiwila mbeya(kuna kata ya uchaguzi pale kiwila) vijana hawa wakiongozwa na mkongwe wa siasa za tanzania kwa rika la vija MBUNGE KIVULI Mtela Mwampamba walijizolea wanachama wengi sana pale kiwila na kuimarisha chama maeneo yote yanayozunguka kiwila

  [​IMG]

  Leo hii tar.11/03/2012 vijana hao wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa bavicha JUliana shonza walikuwa pande za mfindi wakipiga mikutano kadhaa ya kujenga na kuimarisha chama,Very interesting thing ni kuwa kijana mdogo kiumri lakini anauweo mkubwa wa kujenga hoja Getrude ndibalema alifanya kazi kubwa sana ya kuwashawishi akina mama kujiunga na chadema leo hii pale mfindi na juzi alipokuwa kiwila,akina mama wengi wameitikia wito huo na kwenda kuchukua kadi za chadem kwa sababu hawakutegemea kuona mtoto mdogo akitoa machozi kwa ajili ya kulilia taifa hili lisiendele kutafunwa na mafisadi wa ccm.

  Usikuwa leo makamanda hao wataingia jijini Dar es salaam nakuendeleza mapambano katika kata mbalimbali za uchaguzi pale vijibweni kigamboni na baada ya hapo watatua pande za tanga kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani..Baada ya hapo wanaelekea Arumeru kuhakikisha Nasari Joshua anachukua jimbo.

  Kila raheri makamanda wa chadema,chadema tumaini jipya la watanzania

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana makamanda.Mungu awatie nguvu
   
 3. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hiyo kata ni Kiwira; diwani wake alikuwa pia ndio mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe na alifariki kwa kupigwa risasi.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona wamepiga picha wapo watatu kama watalii, wanamuziki, nimejaribu kutafuta sehemu walipotikisa sijaiona, hao watu walitikishwa wapo wapi?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hivi mkate wako wa kila siku na chakula cha watoto uwa unatafuta muda gani?
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyo Getrude Ndibalema, ana elimu gani naona ni binti mdogo alitakiwa awe darasani lakini yupo katika harakati za kujenga chama...
  NAOMBA KUJUZWA
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Ili uulize hili swali ungeomba ruhusa kwa makamu wa rais kwanza!!!!
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh naanza kua na wasiwasi na wewe swalo gani hilio!!!!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Nimeuliza kwa nia njema kabisa sababu muda wote yupo humu JF.
   
 10. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni mwanafunzi wa UDOM.
   
 11. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Welk done ganzi et al!!
   
 12. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda sana hii, vijana damu mbichi na wana pumzi za kutosha wazee wa magamba sidhani kama wanaweza mchakamchaka dizaini hii...

  ..hata vijana wa magamba karibu wote wana vitambi..
   
Loading...