Polisi kuuza tk t mechi ya azam na yanga ni system mpya???ama ujasiriamali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi kuuza tk t mechi ya azam na yanga ni system mpya???ama ujasiriamali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 12, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Sikuya jumamosi ilikuwa ni ya vichekesho kwangu tangu nianze kuangalia mpira
  kwanza kulikuwa na uhaba wa tkt..muda mfupi gari ya hiace ikaingia ndani ikaenda
  kukaa kwenye chuma na akashuka polisi mmoja ana mtutu..huyu ni pw 2345 sijui alikuwa
  kikazi ama lah..akaanza kukusanya hela alfu 15 anaingia kwenye gari analeta tkt kumbuka watu wako
  nje wanachungulia kwenye chuma kama wako gerezani

  huyu bwana akaishia kuwa mtangazaji jamani zimebaki za 15 alfu tu..mara he akakusanya nyingikweli kweli..nikasema jamani kulikoni polisi wameanza kujiajiri??

  Imepita dk 25 baada ya mpira kuanza ikaja gari moja ina askari 3 dreva na wengine wawili wako ndani spacio ya blue T675 ASM
  wakasimamisha pembeni ya bar moja iko oppo na uwanja..gafla wakaona defender waklaacha kuuza tkt wao walikuwa wakiuza za alfu 3 kwa aluf 7 na watu walinunua kweli kweli ..wakaondoka wakaenda kwenye kona fulani wakaanza kuuza tena awakuona aibu wakarudi karibu na geti kuu wakajibanza kwa ndan kwenye parking na wana uniform zao kabisa hawa wlaikuwa na namba zao bila aibu
  pw 4534/4587 pw 2398 nahisi waliamua kufa na lolote litakalowatokea

  nimejiuliza afande mwema askari wako wameanza kujiajiri wenye wenyewe uwanjani kwa kuuza tkt nakumbuka zamani tulikuwa ukiwafwata bila tkt unaweka hela mkononi mwao kama tkt unakimbizwa nao kama umeiba...he leo hi ni styel mpya tujuzeni wapendw a tukajiajiri uko polisi kama ndio hivyo
   
Loading...