Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi?
Fikiri matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu.
Matibabu...
Hivi karibuni watu wengi wamekuwa na maaswali yasio kuwa naa majibu baada yakuona wanaambiwa kuleta taarifa zao upya. Nilazima mimi na wewe tujuwe kwanini huu mpango umekuja kwa nguvu na nini...
Vile viwanja vilivyogaiwa kwa waathirika wa mafuriko ya Jangwani na sehemu nyinginezo za Dar vimeanza kuuzwa,JF imebaini.Wauzaji hao ni wajanjawajanja.Huuza bila kuandikishiana na mnunuzi mbele ya...
Kura yangu itakwenda kwa mwanasiasa yoyote mwenye chama cha siasa au asiye kuwa na chama cha siasa atakaye nihakikishia kuwa mara baada ya kupata Uraisi atakuwa tayari kurudisha Azimio la Arusha...
Bonny MWAITEGE kweli ni noma sasa naanza kutafakari kwa makini sana wimbo wake wa "UTANITAMBUJAE KWAMBA NIMEOKOKA"
Hakika wimbo huu pia tunaweza kuutambua kwa jina "UTANITAMBUAJE KWAMBA...
Ndugu zangu.!
Mkoani Ruvuma, wilaya ya Mbinga, Kata ya Ngumbo, kijiji cha Mkili hapo jana usiku kumetokea na ajari ya gari aina ya Landrover iliyo tumbukia mtoni (mto unaitwa MUNYAMACHI) na...
WIKI moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuagiza Jeshi polisi kuwafukuza kazi askari wote wasio waadilifu, jeshi hilo mkoani Kilimanjaro limewafukuza kazi polisi wake watatu kwa tuhuma za kufanya...
Kesi ya kupinga ubunge wa Godbless lema inaendelea kunguruma mahakama kuu kanda ya arusha.baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi za awali zilizo wekwa na mawakili wa utetezi. Mwendesha...
Baada ya kugundurika kuwa Julius Nyerere aliuwa na Njama zilizofanywa na Rais Mstaafu Mpaka
napendekeze Jina la uwanja wa Ndege ubadilishwe jina maana hii inaongeza maumivu kwa watanzania.
Huu ni...
Ndugu wanaJF,
mtakumbuka hivi karibuni waandishi wa habari wa Iringa walijitokeza humu wakidai kuwa watagoma
kuandika habari za serikali mkoani humo kwa vile walinyimwa posho kwenye ziara ya...
As an active blackberry smartphone user nimestushwa sana na habari kuwa Waziri Malima aliyeibiwa Hotelini Moro aliibiwa vitu pamoja na simu hizi....
1.Nokia C6--sh.500,000
2.Nokia...
Kumekuwa na maneno mengi kuhusu kundi hili hasa pale TBC1 wanavyorudiarudia vipindi vya nyuma toka tuuanze mwaka 2012 na hakuna kipindi kipya kilichorushwa. Wapo wanaosema mkataba wao umekwisha...
Watu wako wamelala hali wako hai na huwa macho baada tu ya kufa. kujielekeza kwa mabaki ya matamanio ya mtu ndiko kujiuwa haraka. Ufe kabla ya kifo kukuijia. Mauti inaidhihaki tamaa..
Mauti...
Habari za shughuli wadau,
Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WATEJA WAONGEZEWA MUDA KUREKEBISHA TAARIFA BENKI BENKI Kuu ya Tanzania imeongeza muda wa mwaka mmoja kwa wateja wa benki zote nchini kuboresha taarifa zao kuanzia...
Habarini wakuu!
Kumekuwa na udanganyifu mwingi kwa wanaoagiza magari toka Japan kwa kuwekewa mwaka ambao gari imetengenezwa kumbe siyo mwaka halisi bali ni mwaka gari iliposajiliwa na likifika...
Huwa kuna nyakati nasahau kakamera kangu ka mchina! So Msiniulize picha! Ila hizi ajali we acha tu!
Leo asubuhi maeneo ya Kibosho road Landcruiser DFP uso kwa uso na pick up hilux. Taarifa...