Ajari: Gari la tumbukia mtoni

Chimemena

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
451
Ndugu zangu.!

Mkoani Ruvuma, wilaya ya Mbinga, Kata ya Ngumbo, kijiji cha Mkili hapo jana usiku kumetokea na ajari ya gari aina ya Landrover iliyo tumbukia mtoni (mto unaitwa MUNYAMACHI) na kusababisha majeruhi 7 na vifo vya watu watano (5) wakiwemo walimu wa shule za msing watatu waliokuwa wanatoka wilayani mbinga kuchukua mishahara yao.

Lakini mpaka sasa miili ya watu wawili (akiwemo mwalimu LUCAS MBUNDA Mkuu wa shule ya msingi NGUMBO) bado haijapatikana, inasemekana imepolea ziwani Nyasa.

Ch
 
Ndugu zangu.!
Mkoani Ruvuma, wilaya ya Mbinga, Kata ya Ngumbo, kijiji cha Mkili hapo jana usiku kumetokea na ajari ya gari aina ya Landrover iliyo tumbukia mtoni (mto unaitwa MUNYAMACHI) na kusababisha majeruhi 7 na vifo vya watu watano (5) wakiwemo walimu wa shule za msing watatu waliokuwa wanatoka wilayani mbinga kuchukua mishahara yao. Lakini mpaka sasa miili ya watu wawili (akiwemo mwalimu LUCAS MBUNDA Mkuu wa shule ya msingi NGUMBO) bado haijapatikana, inasemekana imepolea ziwani Nyasa.
Chanzo cha ajari ni kwamba

mkuu jaribu kuisoma habari kabla huja leta hapa.
 
Poleni wafiwa, RIP marehem, majeruhi mpone haraka.
 
Gari ilipofika katikati ya mto ikasombwa na maji umbali wa m120. Halafu huenda miili hiyo iliyopotea inasadikika kusombwa mpaka ziwa nyasa kwani sio mbali na eneo la tukio(0.8meta).
 
sorry kama nitakuwa sijakamilika kwa kuleta habari kwani mmoja wa maiti ambaye hajaonekana tangu jana tarehe 13 usiku wa saa 5 (mwalimu MBUNDA) ni mjomba wangu, so nipo stressed kidogo.
 
Ndugu zangu.!

Mkoani Ruvuma, wilaya ya Mbinga, Kata ya Ngumbo, kijiji cha Mkili hapo jana usiku kumetokea na ajari ya gari aina ya Landrover iliyo tumbukia mtoni (mto unaitwa MUNYAMACHI) na kusababisha majeruhi 7 na vifo vya watu watano (5) wakiwemo walimu wa shule za msing watatu waliokuwa wanatoka wilayani mbinga kuchukua mishahara yao.

Lakini mpaka sasa miili ya watu wawili (akiwemo mwalimu LUCAS MBUNDA Mkuu wa shule ya msingi NGUMBO) bado haijapatikana, inasemekana imepolea ziwani Nyasa.

Ch

RIP wa TZ wenzangu
 
pole sana kwa wafiwa, Mungu awatie nguvu.
R.I.P marehemu wote.
 
pole sana kwa wafiwa, Mungu awatie nguvu.
R.I.P marehemu wote.
 
hii ndio Kushindana na mafuriko!! Mungu Awajalia Nguvu ya Ziada kipindi Hiki Kigumu!!
 
Pole sana chitemo kwa kuondokewa na mjombawo.
Kazi yake mola haina makosa
 
Poleni wafiwa,majeruhi wapone haraka. Kupoteza walimu watatu ni pigo kubwa kwa taifa.
 
Back
Top Bottom