Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inasikitisha sana tangu tigo ianze kuwa na matatizo ya netweork uaminfu kwenye ndoa umeanza kuwa mchache hata kwa wale waliokuwa na uaminfu ndani ya miaka 4..inashangaza kuona jamani mke anatuma...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikiliza matangazo mengi ya kibiashara ktk radio ,tv, wanatumia lafudhi ya hawa wachaga..... (Mara chache wakurya wasukuma na wazenj)hivi makabila mengine kwenye matangazo lafudhi zake hazina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu, mimi huwa natembea usiku kutokana na majukumu yangu binafsi. Nataka kupata AK 47 kwa sababu maadui wanaweza kuja na silaha nzito. Mimi najali sana uhai wangu naomba anayejua utaratibu wa...
2 Reactions
87 Replies
13K Views
TBC anzisheni CHANNEL YA TBC BUNGE [ yaani mambo ya bunge tu mwanzo mwisho, zaidi ya hapo majimboni, vikao vya kamati za bunge kama hakuna BUNGE? ] Mbona channel za MUZIKI wanaweza hali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam zenu wana jf Nimeona nipite huku leo ili tuliangalieni suala hili limekaaje. Hapa namaanisha issues kama zile za akina ‘First Lady' (Mama Salma), First son/Daughter...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi! Nimeona tangazo hili gazeti la mwananchi nikaona si vibaya ambao hawajasoma wakaona jinsi mzalendo huyu alivyo amua kutumia utajiri wake kwaajili ya wengine pia.(nime type mwenyewe...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
UKIONA ANASUMBUA KUTOKA OUTING KILA SAA FUNGA VIATU NDALA LIKE THIS .
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Juzi tulishuhudia mgomo wa madakitari ulivyotikisa nchi na ndugu zetu wakafa kwa sababu ya mgomo!!mgomo uliochukua jumla wiki mbili za kwanza na wiki moja ya mwisho! Nikweli kama auna huruma...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Iv Tanzania tunaelekea wp! kama hata siasa zetu wenyewe zinatushinda? Majukwaa ya siasa sasa yamekuwa ni sehem za watu kueleza tofauti zao. Mi nadhan wanachi wanahitaji kusikiliza sera zaid ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa Sipendi kesi ni kama...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hii sijui imekaaje. Utakuta maji hayatoki kwa siku kadhaa na mamlaka husika haisemi kitu. Tamko hutoka baada ya malalamiko ya watumiaji kunadiwa kwenye vyombo vya habari. Huu mtindo umekuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Wana jamii F nimesikitishwa sana na malumbano yanayoendelea na kuripotiwa na vyombo vya habari, nini kifanyike ili kuepusha/kusitisha malumbano yanayoendelea?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukimwona huwezi kumdhani, ukiambiwa harakati zake unaweza kuzirai, kwa maana ni kama mtu huyu amefunga kamera hadi ikulu, ni mwanamapinduzi ambaye CCM na serikali ya JK wameshindwa kuzima harakati...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakuu habari za wikiendi natumai kama sio mimi tu na wewe unakumbana na adha hii ya mgao wa umeme kwa takribani wiki moja sasa mgao unaanza saa kumi alfajiri hadi saa saba mchana bila ya taarifa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hi Naomba msaada , wa aliyewai kutumia MISTUBISH RVR, ikoje kimatumizi, uimara, matumizi ya mafuta, spare, n.k natanguliza shukrani
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Inakwenda wiki ya pili sasa mgao bubu wa umeme umeshika kasi na sasa umefikia kuhatarisha mitaji ya watu na usalama wa nyumba zao. Mhishimiwa Mkuu wa Kaya amezua tabia ya kukusanya wacheza bao wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi clouds kwa nn unampa mic huyu jamaa, jioni kwenye Jahazi anasema' mara baada ya Lowassa kuwasiri Kibonde anadai waandishi wea redio ikiwemo ya clouds walimfuata mwenyewe Airport bila kuitwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
mabasi zaidi ya 2o yamekwama wami kutokana na kuaribika kwa lorry katika ya njia,mabasi hayo ni yale yanayotokea arusha,moshi na tanga
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ameonekana anatembea kwa magongo. Ingia hapa http://2.bp.blogspot.com/-qOjc_3PkjzY/T13KZf3nNWI/AAAAAAAA7wQ/sB7Jd73oq0Q/s640/CCM6.jpg
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…