Wana jf nataka kukopa nmb mil tatu-basic yangu ni 422000 take home ni 371000 .je riba ni kiasi gani na kila mwezi ntakatwa shilingi ngapi kwa miezi 36!najua watu wa benki mpo jf
Juzi watu wanaodhaniwa kuwa majambazi walivamia nyumba ya watawa wa Kanisa Katoliki wa Parokia ya Bikira Maria, Mji Mpya, Kipunguni `B' Ukonga jijini Dar es Salaam na kupora Sh. milioni 1.5, Rupia...
Leo ni siku ya maji ya duniani. Hapa nchini maadhimisho hayo yalifanyika kwa wiki nzima kuanzia Machi 16, mwaka huu na kuadhimishwa kitaifa mkoani Iringa.
Kumekuwa na harakati mbalimbali...
Katika jambo la kusikitisha, mwanafunzi wa Form Six ambaye bado alikuwa anasubiri matokeo yake ya kidato cha Sita, ameuliwa kikatili pamoja na Baba yake mzazi. Mzazi wa mwanafunzi huyu...
Nyumba za iliyokuwa THA na TRC a.k.a Gerezani Quorter zinavunjwa leo hii kupisha kituo cha mradi wa mabasi yaendayo haraka(DART Project).Zoezi hilo limekuja baada ya amri ya mahakama kutolewa na...
Kwa wakazi wa Kariakoo adha ya maji kwa siku ya tano leo imekuwa kero isiyo mfano. Ingekuwa hakuna visima vya maji (vingi maji yake yana chumvi mno), kungezuka balaa. Magorofa yaliyobanana, wingi...
Haya wanandugu kazi kwenu mnaoishi pekeyenu pekeyenu!
People of working age who live alone increase their risk of depression by up to 80% compared with people living in families, says a Finnish...
Mkuu wa wilaya Liwale ndugu Paul Chiwile amefariki katika nyumba ya wageni ya VISION mjini Lindi alipofikia, alipokuwa anahudhuria mkutano na wakuu wengine wa wilaya wa mkoa wa Lindi
Paul chiwile...
najua tupo kwenye msiba lakini naomba kujua kama naweza kujua elimu au uwezo wa member kwa kusoma post au comment zake'
Nauliza kwa sababu mbili'moja kuna watu humu ndani nitawataja kama...
Habari za jioni hii wanandugu katika Utaofa.
Kunahabari kwamba hawa wawekezaji wa kilimo cha maua wamekuwa wakifukuza Mvua Kwa kupuga milipuko maalumu ya kuzuia mvua kunyesha kwenye maeneo hayo...
Nimeona niishauri serikali ya CCM iweze kusitisha maandalizi ya bunge la bajeti 2012/13 na sababu yangu kubwa ni kuona bajeti ya 2011/12 hadi sasa haijatekelezwa. Siyo halmashauri wala serikali...
MWALIMU wa Shule ya Msingi Ukombozi, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, Buntwa Brown Mwakabengele amejifungua watoto wanne katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)
Watoto hao, ambao...
Bonge la sherehe kupita sherehe nyingine zote katika taasisi hiyo kuwahi kutokea, imefanyika siku ya Jumatano kufutia kuondolewa kwa aliyekuwa mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Godwin Ndosi...
Bandugu huvi huu mtandao wetu wa TIGO umepatwa na balaa gani? Mim simu yangu out going call an in comng call hazipiti kwa simu yangu unaweza ukashinda na vocher mkononi unaingiza tangia asubuhi...
Yule jamaa anayetuhumiwa kuuwa watu saba huko Ufaransa amekufa baada ya kujirusha from the window wakati wa mapambano makali against police. The man had a bullet wound in his head. Three police...
Facebook has made made changes to their Status Update System which is designed to get rid of all ambiguity and confusion from Account Holders' Profiles. If an Account Holder changes their status...
Wapendwa tunaomba anaye fahamu mradi huo utapita njia/sehemu gani za Dar atuhabarishe. Naona wanabomoa gerezani, hiyo barabara itapita wapi kuja mpaka gerezani. Kuuliza si ujinga.
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...