Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati serikali ikisisitiza watumishi wake wajiendeleze kusoma ili kukabiliana na mabadiliko ya ulimwengu,serikali hiyi hiyo inateua viongozi wa nyadhifa nyeti kama hizo huku baadhi wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamvi. nawasalimu wote,kuna utafiti naufanya na nahitaji msaada wenu, je kuna watanzania wangapi waishio nchi za nje? au je naweza kupataje takwimu hizo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kumekuwa na mchezo mchafu wa wanasiasa kuwarubuni wananchi wake kipindi cha chaguzi kwa kuwapa ahadi hewa za kuinua maisha yao. Wanapopewa nafasi ya kutetea haki za wanyonge wao wanaishia...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Ilikua ni jana usiku maeneo ya dakawa,lakini mungu alivyo mkubwa sikuumia ila gari ilipanda juu ya pikipiki yangu naomba mnipe pole.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gari aina Nissan T346 BZC Xtrail ikielekea Mwanza imepata ajali muda si mrefu hapa Chikuyu karibu na Manyoni. Ilikuwa na wanaume wawili na binti mmoja mdogo. Wanaume wameumia vibaya sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"politicians are all over, they can promise to build abridge even where there is no river" watch out arumeru
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna siku moja nilikwenda Banki ambayo ipo karibu sana hapa ofisi zetu zilipo eneo la Kibaha jina lake linaanzia na herufi "N". Nilikwenda kuchukua shilingi laki moja tu, kupitia dirishani yaani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MTOTO mdogo wa kike anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 9, (pichani) amelazwa wadi namba saba katika Hosipitali ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mawenzi akiuguza majeraha aliyoyapata yanayodaiwa kutokana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Au ni mie tu? Maana cm ina salio la sh. .122. Unapiga inakuambia ivo.!mtandao ni voda.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda sana kusikiliza Ma-pops na Ma-rocks. Ila Leo hawajaa jamaa wamenishangaza......Tangu asubuhi nilijaribu ku-tune hiyo Mhz 90.0 yao. Mziki unaopigwa ni mmoja tu. Ukiisha unarudiwa.......huo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman vodacom mnatatizo gan jaman mana unaweza ukapiga simu ikawainaloading..... tu kama dadika mbili ndio ije kusema hapatikani au ndio iite jamani vodacom vipi mbona mnaanza kuwa kama TIGO au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sasa tumekatishwa tamaa kuwa ni KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI kufanya mapinduzi ya kweli yenye lengo la kuweka hali sawa kwa faida ya taifa. Na imekuwa wazi kuwa NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
siku mwanangu akiniuliza baba kwanini sisi maskini ntamwambia kwa sababu ya chama cha mapinduzi.ntamwambia akitoka shetani kwa ubaya kinachofuatia ni chama cha mapinduzi.tena ntamwambia ktk maisga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATU wanaosadikiwa kuwa majambazi wenye silaha wamemuua polisi aliyekuwa akilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka unaomilikiwa na Kampuni ya Barrick wilayani Biharamulo Mkoani Kagera na kutoweka na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wana jf naomba kuliwasilisha hili jambo ambalo linanikera sana moyon mwangu kiukweli kwan nimeshaliona zaidi ya mara tano kwa sasa. polisi ni vibaka, polisi ni wezi, polisi ni majambazi.Nitatolea...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
· Wadaiwa kumtesa, kumpiga, kumdhalilisha hadharani · Wadaiwa kumpasua bandama kwa kitako cha bunduki · Mdogo wake naye yuko hoi mahabusu kwa kipigo Jeshi la polisi mkoani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Walimu wapya tangu waajiriwe hawapata mshahara wa mwezi wa pili na posho zao wamepata za siku tatu tu ambazo ni pungufu ya 150000.cha ajabu wakurugenzi wa wilaya hawana majibu walimu wakiomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo hapa nyegrzi shinyanga road pembeni ya ellys motel kumetokea ajali ya pikipiki kugongwa mark ii .dereva na abiria wameumia.ajabu watu wa mwanza wanawashangaa majeruhi bila ya msaada wowote.mi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Kwanza kabisa naomba kutoa pongezi kwa wanaJF wote kwa michango yao ya kila aina katika kuibua maswala yanayoigusa jamii ya kitanzania kwa ujumla.Jukwaa hili kwa kiasi kikubwa limekuwa na mshiko (...
1 Reactions
322 Replies
114K Views
Ni lini watanzania tunakabiliana na ajari za kizembe zinazo sababisha vifo visivyo tarajiwa? Hii ni ajari imetokea maeneo ya ubungo kama unavyo ona dereva na mteja wa boda boda walilambwa na gari...
0 Reactions
42 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…