jamani VODACOM vipi tenaaa

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
jaman vodacom mnatatizo gan jaman mana unaweza ukapiga simu ikawainaloading..... tu kama dadika mbili ndio ije kusema hapatikani au ndio iite jamani vodacom vipi mbona mnaanza kuwa kama TIGO au ndio mnakwenda kwa zamu hebu tuambieni kunatatizo gan?
 
tena tigo ndo usiwaseme sio kwa internet sio kwa tigo pesa sio kwa vocher sio kwa customer care mbofu mbofu
 
message za voda zinachelewa kufika,zinachukua kama 24hrs.TCRA hawatusaidii kabisa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom