Kwa sasa ni kigumu chama cha mapinduzi na ni ngumu fikra za mwenyekiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa sasa ni kigumu chama cha mapinduzi na ni ngumu fikra za mwenyekiti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtaka Haki, Nov 27, 2011.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa tumekatishwa tamaa kuwa ni KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI kufanya mapinduzi ya kweli yenye lengo la kuweka hali sawa kwa faida ya taifa.

  Na imekuwa wazi kuwa NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI za kuvua gamba kutimia. Hata zikitimia kule kusua sua kwenye kufanya maamuzi ya haki ya kujisafisha kumeleta aibu juu ya udhati wa FIKRA HIZI. Gamba lililokuwa limesemekana lingevuliwa ndani ya kipindi kifupi limekuwa gamba la KOBE.
  UFISADI umeshinda na zimeendelea kuwa ngumu fikra za mwenyekiti wangu kwa sababu kansa ya rushwa imeshakuwa ni kawaida na sidhani kama ana watu wa kutosha wanaomuunga mkono ndani ya chama juu ya kuupinga ufisadi. Huu ungekuwa ni wakati wa kuchukua ushauri wa Lowassa kuwa maamuzi yafanyike hata kama yataweza kuwa sio the best.

  Kama hata suala la RADA na ushahidi mkubwa uliokuwa umetolewa bado imeshindikana kufanya lolote basi nimekatishwa tamaa.
  Siasa ya UJAMAA na kujitegemea imegeuzwa na wapenda rushwa na ufisadi kuwa SIASA YA UNYAMA NA KUJITEGEA. Kama nilivyowahi kuwasikia baadhi ya watu wakiita.
  Watu wanafanyiana visa na mitego. Rushwa aliyekuwa adui wa HAKI sasa amekuwa rafiki wa viongozi wa Siasa.
   
 2. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :canada:CCM WOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Dah,
  Hii imekaa vizuri sana kupita maelezo mkuu, we mbunifu kweli.
  Tukitoka hapo hata bendera na nembo ya chama tunabadili,
  Tunaweka hii iliyoko kwenye avatar yangu hapa, inafaa sana hii.
  Au vipi???
   
 4. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona bendera yako ndiyo inayotumika kwa sasa.
   
 5. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bila dhihaka yoyote nadhani salamu ya sasa ya chama inapaswa kuwa " NI KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI KULETA MAPINDUZI" then " NI NGUMU FIKRA NZURI ZA MWENYEKITI ZA KUJIVUA GAMBA KUTIMIA" then waulize siasa yetuuu " UNYAMA NA KUJITEGEA" yawe ndiyo majibu.
   
 6. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NI KIGUMU KUCHUKUA MAAMUZI, NI NGUMU KUONA KUWA DAWA NI KUWACHUKULIA HATUA WAHALIFU NA KUSIMAMISHA HAKI. HAKI IKITOWEKA AMANI INATOWEKA. NI NGUMU SIASA YA unyama na kujitegea inayoendelezwa. Wengi wamenaswa katika siasa ya kujitegea sasa inaendelea siasa ya KUJIMEGEA
  KIWIRA,
  TANGOLD
  EPA,
  NDEGE YA RAISI
  RADA,
  TAFADHALI ongezea
   
Loading...