TBC International Radio Vipi Leo???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC International Radio Vipi Leo????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tripo9, Mar 25, 2012.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Napenda sana kusikiliza Ma-pops na Ma-rocks.
  Ila Leo hawajaa jamaa wamenishangaza......Tangu asubuhi nilijaribu ku-tune hiyo Mhz 90.0 yao. Mziki unaopigwa ni mmoja tu. Ukiisha unarudiwa.......huo huo.......jioni hii kwenye saa moja moja tena nika-tune.......mziki ni uleule niliousikia asubuhi unaendelea.....Yaani ni 'Re-play the same **** music for life' mode.....

  Je radio gani inajiita ya taifa tena kimataifa inawachoka wasikilizaji wake namna Hii???? Tena kuna siku wanaamua kuizima kabisa sijui sababu ya mgao wa umeme au nini..mi sijui

  Hii ni aibu, wahusika jirekebisheni..........
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hakuna kitu hapo international wakati inaishia magomeni?
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  TBC Kaonmdoka nayo Tido uliobaki ni uozo mtupu
   
Loading...