Ajali za mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali za mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Donkey, Mar 22, 2012.

 1. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Nipo hapa nyegrzi shinyanga road pembeni ya ellys motel kumetokea ajali ya pikipiki kugongwa mark ii .dereva na abiria wameumia.ajabu watu wa mwanza wanawashangaa majeruhi bila ya msaada wowote.mi mgeni hapa ndiyo nimewasaidia majetuhi.vipi mwanza mnaishije
   
 2. S

  Skype JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Pole zao majeruhi.
   
 3. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bodaboda zimewachosha
   
Loading...