Kuna watanzania wangapi waishio ughaibuni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna watanzania wangapi waishio ughaibuni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Third Eye, Mar 26, 2012.

 1. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  wanajamvi.
  nawasalimu wote,kuna utafiti naufanya na nahitaji msaada wenu, je kuna watanzania wangapi waishio nchi za nje? au je naweza kupataje takwimu hizo?
   
 2. s

  sawabho JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ofisi za Uhamiaji huko Tanzania wamekujibu nini ?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
 4. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  kwa nchi yetu, sidhani kama utapata takwimu halisi maana watz wengi huondoka nchini kinyemela ila uhamiaji ina bidi wakupe takwim rasmi at least waliondoka ktk njia sahihi.

  uhamiaji assist
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nenda uamihaji na ubalozini chukua takwimu zao then tafuta evarage!
   
Loading...