Ama kweli Serikali inatesa sana walimu wapya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ama kweli Serikali inatesa sana walimu wapya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mastabenja, Mar 25, 2012.

 1. M

  Mastabenja Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Walimu wapya tangu waajiriwe hawapata mshahara wa mwezi wa pili na posho zao wamepata za siku tatu tu ambazo ni pungufu ya 150000.cha ajabu wakurugenzi wa wilaya hawana majibu walimu wakiomba ruhusa wakakae nyumbani mpaka mshahara uanze kutoka wananyimwa.mimi nachojiuliza utamuambiaje mtu aanze kazi na haujiulizi atalala wapi atakuld nini huu ni unyama.mi nimewaomda baadhi ya hawa walimu wanasikitisha sana na wameshakata tamaa utadhani wakimbizi.mi napenda siku moja baada ya rais na mawaziri na wakurugenzi kuapishwa na kuanza kazi wangecheleweshewa mshahara na posho kama walimu wapya ili nao waonje joto ya jiwe.sijui mwezi huu watapata mshahara.
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kutojua haki zenu. Hujapewa mshahara unakaa nyumbani mpaka utakapotoka. We unaomba ruhusa kwenda kukaa nyumbani? Nani atakuruhusu? Huu ni wakati wa kila mtu kupigania haki yake ndo ukombozi utapatikana.
   
Loading...