Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilipita majuzi kuchukua hela atm wapendwa wakati nikiwa kwenye folen nikakuta kaka mmoja anasubiri na yeye huku akihimiza watu jamani nimetoa hela jana nikaomba lakimbili zikatoka 160,000 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyombo vya habari tz wekeni minara yenu rombo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza nianze kuwapongeza ndugu zetu wachaga kwa bidii ya kufanya maendeleo na hii ndio sera yao, kwa kweli wamejitahidi sana, ukiwa huna maendeleo kwa wachaga utachekwa sana! hivyo imepelekea...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Kila kukicha utasikia wamachinga wanakwaruzana na serikali kutokana na kufanyia biashara maeneo ambayo hayaruhusiwi. Hii inatokeaje wakati kuna watu wameajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo? Kama wapo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
huyu mheshimiwa wa tarime ni mmoja kati ya watu wanao ua elimu hapa tanzania, haiwezakani asomee kiswahili halafu atunge hadi vitabu vya sayansi. Jamaa kwake hamna asicho weza na anaweza kuwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu kama kuna mwanachama humu aliyealikwa kwenye kipindi cha malumbano ya hoja juu ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa digitali tafadhali naomba upitie hapa ili tukupe hoja muhimu utakazozitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamphel Yeshi akikimbia mbele ya watu huku akiwa amejichoma moto, alifariki dunia baadae Wanaume wawili toka nchini Tibet wamejichoma moto kuupinga utawala wa China kwenye nchi hiyo, mmoja wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hellow wakuu wote wa jf naomba nichukue muda huu kuwaaga kwa muda wanajf wote wa dar kwani nitakuwa songea kwetu kwa muda wa miezi kama 3 hivi.ila jf kama kawaida,mtaniagia kwa Invisible (Robot)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkoa wa Dar es Salaam, ndio mkoa mdogo kuliko mikoa yote nchini Tanzania-bara ....ooops... Tanganyika!!! I love Dar es Salaam!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu mfuko wa ppf dar es salaam wanasumbua sana kutoa mafao,harafu wanafanya kazi kama wamelazimishwa,badilikeni
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Watanzania ndugu zangu, hebu tufikiri kwa makini juu ya hatma yetu. Mambo mengi yanatuzidia sasa mfumuko wa bei, afya, elimu duni, miundombinu mibovu, maji, ardhi, umeme, na mengine. Ila kwa leo...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Yani ni serikali legelege ata huduma zake ni legelege..Watanzania walizitilia shaka hizi noti mpya za awamu ya nne baadae akatokea gavana benard ndulu na mzungu wake kuwaaminisha kua ndowao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rehema Matowo, Moshi POLISI mkoani Kilimanjaro imemfukuza kazi askari wake G 8415 PC Deogratius Chamwa (22), aliyeingia disko na misokoto ya bangi na kumpiga mlinzi wa ukumbi wa Pub Alberto...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za uhakika zinathibitisha kuwa Kaimu Mhariri wa Kampuni ya magazeti ya serikali yaani Tanzania Standard Newspapers Ltd, inayochapisha magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SERIKALI ya Zanzibar imekiri kuwapo kwa upendeleo na kujuana katika suala la ajira kwenye wizara mbali mbali za serikali jambo linalolazimu kufanyia marekebisho sheria zake za utumishi. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu wana Jf. Ningependa niwajuze kidogo kuhusu ili vazi lilivyoshuka uthamani hasa maeneo ambako ndio ngome za waislam.nimebahatika kutembea sehemu kubwa ya Tz kwa kazi zangu za minara ya cm...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Halija kaa vizuri kwangu ,uteuzi wa waziri asiyekuwa na wizara maalum kwa maisha ya leo ya saynsi na technogia are we serous kuijenga nchi kweli
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, Asubuhi hii FFU wamewatawanya wamachinga katika maeneo ya Ubungo mataa, Ubungo maji, stendi ya mkoa na wale wanaofanya biashara katika maeneo ya gridi ya taifa. Mojawapo ya maeneo...
3 Reactions
79 Replies
7K Views
Nimesikia asubuhi hii Clouds FM wakirudia sehemu ya hotuba ya matusi ya Lusinde redioni huku watangazaji wakishangilia. Jee hii inamaanisha nini katika jamii? Maadili ya utangazaji yanasemaje...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Ajali ya moto imetokea leo soko la samaki feri, umeteketeza upande ama mabanda kadhaa! Wananchi wamejitahidi kuuzima ingawa inasemakana ukoaji wa mali haukufanikiwa sana. Kikosi cha zima moto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…