Jamani hivi hizi hela mpya lifespan yake ni miaka mingapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hivi hizi hela mpya lifespan yake ni miaka mingapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BINARY NO, Apr 4, 2012.

 1. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Yani ni serikali legelege ata huduma zake ni legelege..Watanzania walizitilia shaka hizi noti mpya za awamu ya nne baadae akatokea gavana benard ndulu na mzungu wake kuwaaminisha kua ndowao waliotengeneza noti za Africa kusini hivyo tuamini kua zinakiwango sawa na ubora wa kimataifa....leo hii ktk noti za 500, 1000 na 2000 huwezi jua km ni feki au original...nani awajibishwe kwa hizi 10% zinazogarimu uchumi wa Tanzania au mkuu ataendelea kucheka uku aliowaamini wakizidi kumuaribia pasipo yeye kuchukua hatua..nadhani life span ya hizi noti ni 2010-2015 zitakua hazipo tena...
   
 2. M

  MamG Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Unayosema wewe inawezekana ikawa kweli. Unavyomtaka jamaa ajipange ataweza vp wakati ni legelege hakuna anayemsikiliza kila mtu anafanya vyake. Hv na zile za zamani zitaondolewa lini, zaidi mwaka sasa! No wonder tumeanguka kiuchumi.
   
Loading...