Moto waunguza eneo soko la samaki feri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto waunguza eneo soko la samaki feri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jmnamba, Apr 4, 2012.

 1. j

  jmnamba Senior Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ajali ya moto imetokea leo soko la samaki feri, umeteketeza upande ama mabanda kadhaa!

  Wananchi wamejitahidi kuuzima ingawa inasemakana ukoaji wa mali haukufanikiwa sana.

  Kikosi cha zima moto toka bandari na askari wa FFU walifika eneo husika baadae kidogo.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Maskini weee sasa mkulu si amepata moshi kidogo? poleni sana
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Pole kwa wafanya biashara.

  Si juzi tu walikuwa wanajibizana wizara na manispaa???:shut-mouth:
   
 4. m

  mymy JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  dah nawahurumia wafanyabiashara waliopoteza mali zao...kwani ule mgogoro kati ya manispaa ya ilala na jiji uliishia wapi...?
   
 5. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hii sredi ni ya lini maana nimetoka hapo feri saa hii hii kula mikiya ya pweza na moto niliuona ni majiko tu
   
 6. B

  Bombambili Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba watoe 'source' ya habari hii au watuoneshe picha za tukio ili tupate uhakika wa jambo hilo kutoka katika eneo hilo la tukio.:A S 39:
   
 7. m

  mboghambi Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani walishndwa kuzima na maji ya bahari mpaka soko liteketee?
   
 8. k

  kikura Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natamani huo moto ungesogea kwenye ile nyumba yetu tuliyompangisha mchekeshaji
   
Loading...