Tafadhalini kwa mlioalikwa ITV kwenye malumbano ya hoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhalini kwa mlioalikwa ITV kwenye malumbano ya hoja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Apr 4, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wakuu kama kuna mwanachama humu aliyealikwa kwenye kipindi cha malumbano ya hoja juu ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa digitali tafadhali naomba upitie hapa ili tukupe hoja muhimu utakazozitoa natumai ni siku ya alhamisi.
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,041
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hoja yenyewe iko wapi ?
   
 3. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hoja ya kwanza TCRA isiukubali mfumo wa DVB_T badala yake iwabane wamiliki wote wa ving'amuzi watumie mfumo wa DVB_S kama ulivyo mfumo wa dstv usiosumbua hata kidogo popote ulipo ndani ya nchi unawapata bila usumbufu wowote.Maana wakikimbilia hoja ya mfumo wa DVB_T ni wa gharama nafuu tutakuwa hatujafanya lolote ukilianganisha na jografia ya nchi yetu ilivyo.Maana naamini kwa mfumo huo wa DVB_T maeneo mengi ya vijijini yatakumbwa na kadhia ya upatikanaji wa mawimbi kwa shida na mwekezaji ataona ni gharama kwenda kujenga transimita ya thamani ya juu kijijini kwa ajili ya wateja wachache kama ilivyo sasa kwa,makampuni ya simu.Hivi ndivyo nionavyo mimi na hii ndio hoja yangu karibu na wewe utoe hoja yako.
   
Loading...