Vazi la hijab

Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
101
Salamu wana Jf. Ningependa niwajuze kidogo kuhusu ili vazi lilivyoshuka uthamani hasa maeneo ambako ndio ngome za waislam.nimebahatika kutembea sehemu kubwa ya Tz kwa kazi zangu za minara ya cm lkn nilikuwa sijapata nafasi ya kufika Tanga na kule Pemba.nilipokuwa mikoa ya bara nilikuwa nawaheshimu sana hawa w'ke wanaovaa hijab na wao wanajiheshimu .sasa nimehamishiwa Tanga nashanga kuona demu ametinga hijab yuko counter amekamata ndovu baridi na wengine wanatinganayo guest.NAOMBA AKÌNA DADA MUBADILIKE
 
Siyo wote wanaosema bwana bwana eee watakaoingia katika ufalme wa mbinguni.
 
Kila mvua samaki kwa mshipi hutumia chambo kinachofaa, hao ni wavuvi na wanatumia hijab kama chambo.

Ukiwa ni mtu wa Dar na mtembezi wa usiku na mchana, utawakuta wale madada poa wa Jolly na Q Bar, usiku na vimini mchana na ma abaya na hijab huko town. Wanajuwa kabisa chambo cha samaki wa usiku na samaki wa mchana.

Nawapo pongezi hao madada kwa ubunifu.

Nasikia siku hizi wameanza kushona uniform za shule na huvaa mchana kama wanafunzi, Ni ubunifu wa hali ya juu, kwani kuna watu wana ugonjwa wa uniform.
 
naamini amepata jibu labda awe na jingine ! Tena anakwambia amepoteza laki na baba yake ni mkali anaomba umlinde
 
Kila mvua samaki kwa mshipi hutumia chambo kinachofaa, hao ni wavuvi na wanatumia hijab kama chambo.

Ukiwa ni mtu wa Dar na mtembezi wa usiku na mchana, utawakuta wale madada poa wa Jolly na Q Bar, usiku na vimini mchana na ma abaya na hijab huko town. Wanajuwa kabisa chambo cha samaki wa usiku na samaki wa mchana.

Nawapo pongezi hao madada kwa ubunifu.

Nasikia siku hizi wameanza kushona uniform za shule na huvaa mchana kama wanafunzi, Ni ubunifu wa hali ya juu, kwani kuna watu wana ugonjwa wa uniform.

Mi ugonjwa wangu hijab. Wenye vimini na skin tait nasikia kinyaa!
 
Kuna wengine ukiwaona wamevaa utasema wastaarabu laakiini wanatumika side A and B.
 
salamu wana jf. Ningependa niwajuze kidogo kuhusu ili vazi lilivyoshuka uthamani hasa maeneo ambako ndio ngome za waislam.nimebahatika kutembea sehemu kubwa ya tz kwa kazi zangu za minara ya cm lkn nilikuwa sijapata nafasi ya kufika tanga na kule pemba.nilipokuwa mikoa ya bara nilikuwa nawaheshimu sana hawa w'ke wanaovaa hijab na wao wanajiheshimu .sasa nimehamishiwa tanga nashanga kuona demu ametinga hijab yuko counter amekamata ndovu baridi na wengine wanatinganayo guest.naomba akìna dada mubadilike

mimi nilifika bwagamoyo nikakuta dada kavaa hijab tranparent ....ajabu!!!
 
Salamu wana Jf. Ningependa niwajuze kidogo kuhusu ili vazi lilivyoshuka uthamani hasa maeneo ambako ndio ngome za waislam.nimebahatika kutembea sehemu kubwa ya Tz kwa kazi zangu za minara ya cm lkn nilikuwa sijapata nafasi ya kufika Tanga na kule Pemba.nilipokuwa mikoa ya bara nilikuwa nawaheshimu sana hawa w'ke wanaovaa hijab na wao wanajiheshimu .sasa nimehamishiwa Tanga nashanga kuona demu ametinga hijab yuko counter amekamata ndovu baridi na wengine wanatinganayo guest.NAOMBA AKÌNA DADA MUBADILIKE
Kudadadadeki...!
 
Ishu ni pale unakuta demu ana ka-figure kazuriiii (na anajua hivyo, I bet) afu kavaa hijab taitiiiii kitambaa kilichozoeleka, inaonesha maungo yake vizuri na hata kama siyo trasparent ila unaona kabisa hana nguo nyingine ndani maana kama ni mstari wa chachandu huooo unauona kabisa yaani! Yaalah!
 
siku hizi zinashonwa zenye umbo namba nane sasa ukimkuta dada ana tigo kubwa, yaani ni afadhali avae suruali au kimini!
 
Back
Top Bottom