Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chakaza, Apr 3, 2012.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,939
  Trophy Points: 280
  Nimesikia asubuhi hii Clouds FM wakirudia sehemu ya hotuba ya matusi ya Lusinde redioni huku watangazaji wakishangilia. Jee hii inamaanisha nini katika jamii? Maadili ya utangazaji yanasemaje kuhusu kitendo kama hiki?
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Waache washangilie habari wataipata hivi karibuni kwani tumeshaanza taratibu za kumshughulikia.
   
 3. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ngoja warushe, tbc walitubania....sioni ubaya bora hawajamsingizia wala kuhariri, watz wengi wajue
  aina ya viongozi tulionao na uwezo wao......KUDADADEKI.
   
 4. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aache washangilie clipmyenyewe imewekwa mtandaoni na chadema ccm hawana technhology hio si unaona walivyotoa mimacho zitto alivyo panda kutoa hotuba na i pad
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mimi nimesikiliza PB leo hakuwa akishangalia...he was being sarcastic kama ulimuelewa vizuri.
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,939
  Trophy Points: 280
  Kushangilia matusi kwa wale watangazaji kunamaanisha nini?
   
 7. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwenye hi clip aiweke tuione na sasa jama.
   
 8. J

  Jacob Joachim Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inabidi waueleze uma juu ya hilo. Watuambiae nini kilikuwa lengo lao haswa!
   
 9. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hako kabwana kamenishangaza na kunisikitiosha sana leo maana kalikuwa kakicheka sana any way kumbe ushindi ule umewaangusha wengi sana hasa vibaraka ndio wanahaha sana,
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  si kama walikuwa wanashangilia...walikuwa wanamsanifu/wanashangaa/hawakupendezwa na mbunge kutukana....ukiwachekju ju utasema walkuwa wanashangilia bt not.....

  dah mbaba anatukana yule hatar...
   
 11. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Tafadhali sana,mu burn nakala nyingi za hiyo clip ya matusi yake mtawanye bure jimboni kwake ili watoto,watu wazima na wazazi wake wajue aina ya kiongozi waliyenaye.Ikiwezekana hata mawilayani all over Tanzania mtusambazie watu wata burn kwa gharama zao,kuna vijana naishi nao jirani niliwaonyesha hiyo clip kwenye lapto ya Lusinde anavyobwabwaja,mmoja wao ambaye alikuwa mwanachama wa CCM karudisha kadi juzi.Hakuna alieamini kuwa matusi yale yanatolewa na mtu mwenye dhamana ya kuongoza wananchi.
   
 12. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli hawakua wakishangialiana kama kweli hawakua wakishangialia na kama mtakua mnamfuatilia vizuri Gerald Hando si mwana ccm kwa kweli,kwa sababu sehemu yakile kipande ilitaka kutoa ujumbe kua walotiwa Mimba kwa sasa ni CcM ya Lusinde na sio Dr kama kichaa Lusinde alivyotaka kutuaminisha,thats all about
   
 13. K

  Kodemu Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama chake kinalea wahun, mbona hawatak kuliongelea swala hil? 2kichunguza sn nadhan ht familia yake itakuwa inapata shida sn kuish na lusinde.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  nataman ningekuwa na namba ya lusinde jaman ningemwambia chek jf afu aje atukaneeeee wote umu ndani...dah lakin yule mding ajabu kweli anatukana km kanywa mkojo wa...
   
 15. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli hawakua wakishangialiana kama kweli hawakua wakishangialia na kama mtakua mnamfuatilia vizuri Gerald Hando si mwana ccm kwa kweli,kwa sababu sehemu yakile kipande ilitaka kutoa ujumbe kua walotiwa Mimba kwa sasa ni CcM ya Lusinde na sio Dr kama kichaa Lusinde alivyotaka kutuaminisha,thats all about
   
 16. L

  Lua JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa kuongezea, ndugu yangu lameck (aliyekua mgombea 2010) angechua hiyo clip halafu angekuwa anafunga tv kubwa uwanjani na kuwaarika wananchi na kuwaonyesha yaaani kwa maana ni kampeni ya jimboni kwake kuwaonyesha aina ya mbunge waliye nao.
   
 17. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Nilishachangia mada nyingi hapa kuhusiana na hii Redio! Narudia tena kama ukitaka kusikiliza hii Redio baadhi ya vipindi vyake unatakiwa uwe Mwehu!
   
 18. V

  VALLE MYAMLETTE Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Janga la kitaifa...
   
 19. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  walikiwa wana mkejeli na kumbeza na sio kushangilia.
  me nimependa PB walivyo weka maana wengi tulikuwa hatujayasikia
  matusi yenyewe zaidi ya kuyasoma tu.
   
 20. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu ukisearch kwenye youtube utaipata haraka zaidi,bofya hapa Matusi ya Lusinde
   
Loading...