Rafiki zangu wachaga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki zangu wachaga.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakuruvi, Apr 5, 2012.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwanza nianze kuwapongeza ndugu zetu wachaga kwa bidii ya kufanya maendeleo na hii ndio sera yao, kwa kweli wamejitahidi sana, ukiwa huna maendeleo kwa wachaga utachekwa sana! hivyo imepelekea wachaga kutafuta fedha kwa njia yoyote ile bora tu kieleweke. Na hii ndio iliyofanya jirani yetu amtwange mke wake jana kisha baadae wakapatana.

  Huyu bwana alipata tetesi kuwa mke wake alikuwa akitoka na Jamaa mmoja anayesheshona viatu jirani na kwao, lakini pia alikuwa anajua ana mahusiano na tajiri mmoja mwenye baa kubwa mtaani kwao. sasa jana mke wake alichelewa sana kurudi na aliporudi ndipo ugomvi ukaanza.

  Bwana - Mke wangu ulikuwa wapi mpaka saizi kweli (huku akimpa kipigo)
  Mke - Jamani usinipige tafadhali nitasema (huku akiugulia kwa kipigo)
  Bwana - Kumbuka leo ni mara ya ngapi hujaleta kitu? (kipigo)
  Mke - Nilikuwa na yule Mzee mwenye baa pale jirani!
  Bwana - Amekupa chochote?
  Mke - Ndio laki mbili!
  Bwana - Una bahati, nilijua uko na huyo mshona viatu hapo nje asiyekupa kitu ningekupiga hakuna rangi ungeacha ona. Haya leta hiyo hela baki na elfu ishirini na akikuita kesho nenda tu usijali!
   
Loading...