Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
hellow wakuu wote wa jf naomba nichukue muda huu kuwaaga kwa muda wanajf wote wa dar kwani nitakuwa songea kwetu kwa muda wa miezi kama 3 hivi.ila jf kama kawaida,mtaniagia kwa Invisible (Robot) ELIAHKAMWELA ,FirstLady1 MziziMkavu Mtazamaji Kongosho Husninyo Smile BAGAH Mkeshaji,Entrepreneur Mtambuzi ndetichia Mwali Nyani Ngabu Judgement RussianRoulette na wengine wengiiiiiii bila kuwasahau erickb52,pretty,mtotosix na wewe!!