Je wajua? Najua wataka kujua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua? Najua wataka kujua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by President Elect, Apr 4, 2012.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkoa wa Dar es Salaam, ndio mkoa mdogo kuliko mikoa yote nchini Tanzania-bara ....ooops... Tanganyika!!!

  I love Dar es Salaam!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Jimbo la uchaguzi la Ukonga ndilo jimbo lililokuwa na wapiga kura wengi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005.
   
 3. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  mji wa Dar es Salaam ndio mji mchafu kuliko yote tanzania.
   
 4. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sijui kama inaizidi Rombo kwa population au Kahama
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jiji chafu,jijilililopoa kama uji,jijilinalonuka.
   
 6. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Ndilo jiji pekee duniani unaweza kufungua baa karibu na shule, ukapiga muziki muda wowote unaotaka bila wasiwasi.
   
 7. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  ndilo jiji pekee duniani ambalo wakazi wake wa mabondeni wanapopewa viwanja na kuambiwa ahame hukataa na kusema huko (magwepande) ni mbali (na wapi.....??)
   
 8. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rais legelege kuliko wote duniani anakaa katika jiji hilo.
   
 9. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  mkoa wa Katavi ndo mkoa wenye wilaya chache zaidi Tanzania bara. Una wilaya mbili tu.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  kuwa CCM ndio chama chenye wezi wengi waliothibitika na wanaoishi kama vile hatujui kuwa ni wezi!
   
Loading...