Crdb lumumba:huu ni wizi ama bahati mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Crdb lumumba:huu ni wizi ama bahati mbaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Apr 5, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Nilipita majuzi kuchukua hela atm wapendwa
  wakati nikiwa kwenye folen nikakuta kaka mmoja anasubiri na yeye huku akihimiza watu
  jamani nimetoa hela jana nikaomba lakimbili zikatoka 160,000 na riisit ya lakimbili..
  Nina kesi hapo na crdb wamesema wanarekebisha lakini asbh nikachukua hela same problem
  nimetoka hapo ndani wanadai wanaangalia watanijulisha..so muwe makini wakati wa kuchukua
  muhesabu hela zenu.....

  Nilishtuka sana sana mwanzoni sikuamini ila nilipomwona jamaa wa crdb akaja akamuuliza
  umeshatoa akamwambia bado ..akamsubiria alipotoa akacommand 200,000 this time ikatoa 180,000


  lakini kwa wengine zilitoka normal nikajiuliza kuna tatizo gani atm yetu nzuri inayotupiga tafu jamani???
   
Loading...