Maji marefu kamchanja nani chale hadi kunako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji marefu kamchanja nani chale hadi kunako?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by i pad3, Apr 2, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pumba lazima badae zijitenge, tulianza na Mungu na tumemaliza naye, wao walianza an majimarefu na wamemaliza na majimarefu.

  na leo imethibitika kuwa nani kachanjwa na majimarefu hadi kunako kwani sisi tulikuwa na Mungu toka mwanzo
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo vipi?
   
 3. p

  prosper jr New Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamepata walichopanda,sasa warudi na huyo majmarefu wakajigange upya,kazi yao kutumia jina la Mwalimu vibaya kuwadanganya watu wazima kwa pipi huku wao wakichezea urithi wa nchi yetu.waelewe zama za ujinga zinaelekea mwisho,waje na sera na si propaganda.
   
 4. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Hivi kweli Huyu Lusinde Alivyosema Maji Marefu Kawachanja wengi chale alikuwa anamaanisha Kitu Gani? Ina maana ni live kuwa Maji marefu ndio Mchawi wa CCM Baada ya shehe Yahaya? Lakini hata kwenye Madili ya kawaida ni Haki kwa hawa Vigagula Kutajwa Hadharani kwenye Majukwaa ya siasa? Inamaana Tanzania ni Taifa linalomtegemea Shetani? Mbona Huyu Maji Marefu Hajajitokeza Kumkatalia Huyu STD 7 LUsinde!! Amekubaliana naye??
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hapo vp
   
 6. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo poa
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mwigulu nchemba
  Livingstone Lusinde
  Endeleza hapo!!
   
 8. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wasira
  nape
  riz1
  endelezeni
   
 9. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Niwalambe nisiwalambeeee? Ooooooh! Wadau sory sory nimejisahau maana jamaa alitumia hili neno sana mpaka limetuathiri nafuta kauli !!!

  Sasa nasema tulianza na mungu tumemaliza na mungu .......je wenyewe walianza na naniiiii?
   
 10. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mungu akubariki
   
Loading...