Raisi wa tff akataa kujiuzulu kwa mwenyekiti wa ligi!!hivi ni yeye pekee kuongoza ligi ama migao

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Siasa ya kuingiampaka kwene michezo ni vituko sana
nasikia redio one mh rais wa tff ametangaza kutokubaliana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wa ligi
na anaamini bado ana haki ya kuendelea kuongoza ligi kama rais ana mamlaka ya kukubali ama kukataa

kama mjuavyo mwenyekiti huyu akishirikiana na viongozi kadhaa wa simba ambaao wkao kwenye hiyo ligi waliamua kukurupuka na kutoa hukumu kisiasa zaidi badala ya kujua mipaka yao wanaishia wapi

kichekesho hiki ni moja ya muendelezo wa vituko kwenye soka wakati huo tukisubiri mwenyekiti huyu ambae ni msanii na leo mh tibaigana amemwambia atomwomba radhi na hana muda wa kuomba radhi na kama kimemuuma zaidi aende kwenye kamati ya rufaa akakate rufaa achane naporojo za vyombo vya habari

naamini picha hii bado inaendelea tutawalete nini kimeendelea zaidi
 
Back
Top Bottom