Ushindi wa nassari wawaweka matumbo joto madiwani wa viti maalumu arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa nassari wawaweka matumbo joto madiwani wa viti maalumu arumeru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KOMBAJR, Apr 2, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika hali ilionyesha kuchanganyikiwa na uchaguzi madiwani nane wa viti maalum kupitia tiketi ya CCM walikuwa katika wakati mgumu kutetea viti vyao sababu uwepo wao ulikuwa unategemea jimbo kuwa chini ya mbunge wa chama chao.katika kudhihirisha hilo jana walionekana wakihaha huku na kule kushawishi wapiga kura ili wachague ccm ili waendelee kula happy kitu ambacho kilikuwa kinyume cha matarajio yao.
  Poleni sana madiwani viti maalum kupitia CCM.
  Nawasilisha
   
 2. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,318
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  Tafadhari magwiji wa sheria hebu tupeni hapa, Mbunge aliyekuwepo kabla ya hao viti maalum alikuwa ni ccm so sasa CHADEMA ndo ipo madakani, inakuwaje hapo hao waliopata viti vya bure?
  Please hapa ni jukwaa la kuelimishana pia.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Na kuongezea ninapenda pia tufahamu formula ya ruzuku na idadi ya wabunge maalumu Bungeni baada ya CCM kupoteza kiti kimoja na CDM kuoata kiti kimoja, je kutakuwa na mabadiliko?
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Valid point mkuu!pia watuleze kuhusu mbunge wa viti inakuwaje?
   
 5. n

  nathanito New Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ki ukweli cdm wanastahili hata kupata viti vivyo vya udiwani.
   
 6. Silver Rock

  Silver Rock Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iga hao CCM
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tafadhali wakuu magwiji ya Sheria tujuzeni hili limekaaje kwa hawa viti maalumu walokuwepo kipindi cha Utawala wa CcM kama alivyouliza Mazindu Msambile.
   
 8. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Madiwani hao automatically wanapoteza nafasi zao.
   
 9. i

  ikindo Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  Na je CCM watamchukulia hatua gani Ndg Lusinde kwa kutoa lugha chafu mbele ya kadamnasi na kauli tata za Bw Benjamini W. Mkapa kuhusu familia ya nyerere hivyo kupelekea anguko la CCM na kupoteza kiti hicho kimoja hapa ARUMERU?
   
 10. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Itakua njema sana hii kwa CDM maana hata ruzuku nafikiri itaongezeka
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu wangu haya mambo yao wenyewe watajijua lakn sie wengine huku tulipo tulipo tunaeneza elimu ya Uraia najua mpaka 2015 kitaeleweka tu na watajibeba
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwani Mwigulu alichukuliwa hatua gani alipotembea na mke wa mtu Igunga, hakuna cha hatua wala nini... unaijua ccm wewe.
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Na tunafurahi Clip ya Lusinde tunawaonesha vijana ili waone Undazi Magamba
   
 14. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  wassira alichukuliwa hatua gani kwa kuchapa usingizi kila anapoingia bungeni?
   
 15. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  Jairo alichuykuliwa hatu gani kwa kuchangisha pesa kwa ajli ya rushwa bungeni???
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Hongereni wana Arumeru ,Kirumba mumetoa fundisho,itabidi Wanyamwezi wa Igunga waone haya,nina matumaini makubwa muda si mrefu Chadema watakuwa pale Magogoni na robo tatu yao watakuwa mjengoni pale Dodoma aluta continua
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Masaburi alichukuliwa hatua gani,kwa kuwatusi wabunge?
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 422"]
  [TR]
  [TD="width: 563, bgcolor: transparent, colspan: 4"]MATOKEO ARUMERU MASHARIKI
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 289, bgcolor: transparent"]KURA HARALI
  [/TD]
  [TD="width: 80, bgcolor: transparent"][/TD]
  [TD="width: 67, bgcolor: transparent"][/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 80, bgcolor: transparent"]
  60038
  [/TD]
  [TD="width: 67, bgcolor: transparent"]
  100%
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 289, bgcolor: transparent"]1.Joshua Nassari(CHADEMA)
  [/TD]
  [TD="width: 80, bgcolor: transparent"]
  32,972
  [/TD]
  [TD="width: 67, bgcolor: transparent"]
  54.919%
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 289, bgcolor: transparent"]2. Siyoi Sumari (CCM)
  [/TD]
  [TD="width: 80"]
  26,757
  [/TD]
  [TD="width: 67, bgcolor: transparent"]
  44.567%
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 19. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Hili swali halikupaswa kuelekezwa kwa sisiem kwani ni sawa na kuliuliza jopo la fisi litamtendaje fisi mwenzao aliyejiharishia hadharani baada ya kutishwa. Jibu watakalokupa ni hili; ''hata sisi ikitokea kutishwa tutahajiharishia, maana mharo wetu hauko mbali nasi pindi tutishiwapo''
  .
   
 20. r

  rebule Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu upande wa ubunge tusisahau kuwa kikwete ana viti 10 bungeni so kwakuwa raia wamempunguzia mtu wao wa kuwa anapiga makofi, atateuwa mwingine kama alivyowateuwa mawaziri wa afya na mambo ya ndani. tuendeleze tu elimu ya uraia huku huku tuliko na pia tuendelee kuwa na mipango towards 2015
   
Loading...