Lowasa ananikumbusha mtume paulo alipokuwa anaenda kwa warumi anakuwa mrumi akienda kwa wagalatia anakuwa mgalatia.sasa hivi lowasa akiwa meru ni mmeru anataka apewe na ushili akiwa monduli ni mmasai laigwanani.

Mungu akitujalia kufika mwaka 2015 tutakuwa tumeshuhudia mambo mengi ya kijinga hususan kushuhudia baadhi ya watu kuwa kama vikaragosi , wakiitikia kiimla kila wimbo uimbwao na vigogo wasaka madaraka kwa udi na uvumba, hata km makalio ya vigogo hao yamesheheni uchafu wenye kutoa uvundo usiosafishika, na unaoonekana hata na vipofu!!! vishindo vyao vya ulaghai kusikika hata na viziwi!!Lowasa ananikumbusha mtume paulo alipokuwa anaenda kwa warumi anakuwa mrumi akienda kwa wagalatia anakuwa mgalatia.sasa hivi lowasa akiwa meru ni mmeru anataka apewe na ushili akiwa monduli ni mmasai laigwanani.