Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Fredy Azzah HIVI karibuni nilifanya ziara katika mikoa ya Pwani na Tanga na kutembelea shule kadhaa za sekondari na msingi. Karibu katika kila shule niliyokwenda, suala la utoro kwa wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimehesabu na kugundua kuwa Mh. L. Lusinde katika speech yake ya matusi alitumia neno mimba au ujauzito yapata mara 15 kwa namna ya kukebehi (wanawake maana ndio hupata mimba) au kutukana (mf...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kusema ukweli baada ya vuguvugu na shamsham za uchaguzi iliopita ifikapo 2015 kuanzia tume na chama tawala ni budi wajipange. Maana kwa mtizamo wa kina kama sio majiboni basi mpaka uongozi wa juu...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Kwa maneno yake machafu, ambayo hayapaswi kutamkwa na binadamu na kama mtoto wake angekuwepo eneo hilo angemkana kuwa lusinde sio baba yake, sijajua ni uamuzi gani au nini kamati ya ccm imemfanyia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Would You Deny This 94 Year Old Mexican Grandma the Right to Visit Family in Arizona ? And here you have an industrious Mexican national, just simply on her way to visit her friends and...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mfanyakazi Mantrac ameuwawa kikatili kwa kuchinjwa usiku wa kuamkia tar 1/4/12 nayamongo karibu na bar ya mikoroshini
0 Reactions
5 Replies
2K Views
uhusiano wa CCM na WANANCHI ni sawa na ule wa mfuga kuku wa kienyeji na kuku wake, Mfugaji ukiona anawapa pumba au nafaka kuku wake basi ujue kuna mgeni anakuja na kuku anaandaliwa kuchinjwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mbunge wa CCM leo kaja OPD ya surgery na ndugu yake mgonjwa ili apewe referal kwenda india kwa sababu ya kuvunjika mbavu moja tatizo ambalo hutibika humu nchini. Vipimo vilivyofanyika...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana jf nadhani hakuna asiyeifahamu miwani.Swali linakuja hv! Ili miwani itulie vizuri usoni kiungo gani kina msaada mkubwa kati ya pua na masikio?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana majira ya alasiri, maeneo ya darajani (kabla ya taa za Chang'ombe), kibaka aliniibia 'side mirror' ya upande wa kulia. Wakati nahangaika na mshangao wangu, akahamia ya kushoto ili nayo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia habari kwenye Star tv, kamanda anaonekana kutumia command alipoulizwa maswali kuhusu utata wa taarifa alizotoa mwanzo na alizotoa leo kutofautiana, anasema yeye ndiye msemaji na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia wachina wamezui mvua isinyeshe ili wamalizie ujenzi Wa barabara! Hii vipi?
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Sio hadithi ya kutunga ila kwa maneno yake mwenyewe anaandika na ninamnukuu "Back from China... 2 times walitaka kunitapeli ktk vi-bureau de change vya mtaani. 1st attempt wali temper na calcuator...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kweli TTCL customer wanafanya kazi kwa kusimamiwa au. Ni wiki mbili sasa nin tatizo la kuweka pesa kwenye moderm.kila nikataka kuweka inakuja voice massage kuwa simu yangu imezuiwa.nimepiga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Safari za Kampuni ya ndege za Precision Air zimesimama jioni hii baada ya kuwa na deni kubwa la mafuta kutoka PUMA. Wauzaji hao wa mafuta walikataa kuwapa mafuta PW mpaka walipe deni la nyuma...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Rais mstaafu ben willium mkapa ameumbuka katika kampeni za uchaguzi zilizomalizika juzi huko arumeru mashariki kwa kusema eti vicent nyerere hajulikani kwenye ukoo wa nyerere wakati ukweli anaujua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale tuliobahatika kuishi na kufanya kazi Zanzibar tumeona mengi. Kwa desturi wazanzibari gari zao ni full tinted, yanayofanyika na wale wanaobebwa humo ni siri ya wenye hayo magari, wadau...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimeshitushwa kidogo na takwimu zilizotolewa na Mganga mkuu wa hospitali teule ya Muheza...Taarifa hiyo imeeleza katika kila watu 100 wanaofika hospitalini hapo,watu 75 hukutwa na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
oooh our dear god...we are asking for our forgiveness, how can this happen??? what do we expect our kids will learn from this rubbish?? may god forgive you because you don't know what your doing....
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…