Swali:NINI HUSHIKILIA MIWANI,KATI YA PUA NA MASIKIO?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Ndugu wana jf nadhani hakuna asiyeifahamu miwani.Swali linakuja hv! Ili miwani itulie vizuri usoni kiungo gani kina msaada mkubwa kati ya pua na masikio?
 
Design an experiment: Make a clay statute of man, remove the nose, see if the spectacles will remain in hold. Do the same for the ears. I guess you will get a clue of your question. ( State the limitations of your experiments!!!!)
 
mhh. What i nid is only answer guy! Hahahaha
 
Masikio. miwani inaweza kubanwa kwenye mashavu ikashikilia yenyewe. ndio maana nasema masikio ndio zaidi. hahaha!
 
nataka kitu kimoja

Siyo kila kitu jibu lake ni moja. Kwa mfano mtu akiuliza taja kiungo kinakuwezesha kutamka maneno? Jibu lake halitakuwa moja. Atakayesema midomo (lips), meno, ulimi, koo, "sinuses", mapafu au misuli ya tumbo atakuwa kapata.

Nikirudi kwenye mada ni vyote, pua na masikio.
 
miwani ndio inajishika kwenye masikio halafu inaegemea pua,nadhani kichwa ndio kiungo muhimu maana kinabeba vyote
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Design an experiment: Make a clay statute of man, remove the nose, see if the spectacles will remain in hold. Do the same for the ears. I guess you will get a clue of your question. ( State the limitations of your experiments!!!!)

very good answer...lazima ajifikirishe kwanza kabla ya kuja jamvini...then nimependa sana hiyo kauli ya katika mabano...
 
Back
Top Bottom