Uhusiano wa ccm na wananchi ni wa kuku wa kienyeji na mfugaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa ccm na wananchi ni wa kuku wa kienyeji na mfugaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wagagagigikoko, Apr 3, 2012.

 1. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uhusiano wa CCM na WANANCHI ni sawa na ule wa mfuga kuku wa kienyeji na kuku wake, Mfugaji ukiona anawapa pumba au nafaka kuku wake basi ujue kuna mgeni anakuja na kuku anaandaliwa kuchinjwa.

  ukiona CCM iko karibu na wananchi basi ujue UCHAGUZI uko mlangoni.. hapo utawaona wanaojidai makada wa CCM wakiwatembelea wananchi na fulana, kofia chumvi na kanga kuonesha mapenzi yao kwa wananchi. lakini baada ya uchaguzi imekula kwako huwaoni tena mpka baada ya miaka mitano.

  Lakini sasa wananchi wamegundua janja ya Chama cha Mafisadi (CCM) vitu vyao wakileta vinapokelewa lakini kura ng"ooooooooooooo hatuwapi maana hivyo wanavyohonga wametuibia wenyewe, ni vyetu.

  hatukubali tena kuwa kuku wa kienyeji wa kufrahia tshirt na kofia halafu baadaye tunajutia, SEMA NO KWA CCM...UKOMBOZI KAMILI 2015
   
 2. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Noooooo! Ccm
   
 3. c

  collezione JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Si ndo maana mpka leo wanapata kura vijijini ambako sio wasomi. Mjini hawatapata watu tena... Watapata kuku wa kienyeji wa vijijini
   
Loading...