PRECISION AIR taabani

Dreamliner

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
2,034
213
Safari za Kampuni ya ndege za Precision Air zimesimama jioni hii baada ya kuwa na deni kubwa la mafuta kutoka PUMA. Wauzaji hao wa mafuta walikataa kuwapa mafuta PW mpaka walipe deni la nyuma ambalo halijajulikana ni kiasi gani.

Abiria waliokuwa waondoke saa 10 jioni hii, kuelekea Nairobi mpaka saa 12 jioni walikuwa bado wako wakisubiri na hawajajua hatima hao
 
Du aiseee uchumi wa nchi unayumba kila sector/kampuni imefuliaa 2015 ifike haraka hii nchi inafirisikaaa!!
 
Hatimaye abiria wameondoka sasa hv baada ya majadiliano marefu. Aibu
 
They need to establish OPTIMAL CAPITAL STRUCTURE that will maximise shareholders value without increasing risk of bankruptcy. Although the debt decrease cost of capital, their debts are now increasing cost of capital i.e. lenders are afraid the company will fail at the same time shareholders are also afraid due to bankruptcy risk, consequently, they will be demanding higher returns to compensate risks
 
hayo mafuta waliyopata yanatosha kufika Nairobi? Wasije wakawa wamenunu kwenye vidumu halafu ikawa tabu.
 
ndio shrika pekee tunalotegemea
hii ni kawaida kibiashara watalipa tu
 
Hili shirika mbona limechelewa kufa coz dalili zilishaonana zamaaaaaaaaaani. nawatakia kila baya juu yao.
 
Hili shirika mbona limechelewa kufa coz dalili zilishaonana zamaaaaaaaaaani. nawatakia kila baya juu yao.

Kwa nini? Hawa jamaa siyo wabaya sana na wameliepushia taifa aibu kubwa ya kutokuwa na shirika la ndege la uhakika. Kibaya kinachoweza kulikumba shirika hilo ni kujisahau na kutojali wateja.
 
Back
Top Bottom