Kati ya watu 100, watu 75 hukutwa na maambukizi ya UKIMWI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya watu 100, watu 75 hukutwa na maambukizi ya UKIMWI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Watu8, Apr 2, 2012.

 1. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,672
  Trophy Points: 280
  Leo asubuhi nimeshitushwa kidogo na takwimu zilizotolewa na Mganga mkuu wa hospitali teule ya Muheza...Taarifa hiyo imeeleza katika kila watu 100 wanaofika hospitalini hapo,watu 75 hukutwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI na baadhi SARATANI.
  Binafsi naona hali hii inatisha na sina uhakika miaka michache ijayo nini itakua hatma ya wanamuheza.
  Source:Taarifa ya Habari Radio One
   
 2. c

  collezione JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mh. Mambo ya Tanga hayo
   
 3. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Angalia pia vipimo hivi ni FEKI
   
 4. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mabinti wa Kitanga ooo...
  Wanajua kujipamba ooo...
  Kwa mapozi wanatamba ooo...
  ...................................


  Osii n'kumbusheni kamstari kengine kamen'choropoka!
   
 5. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Maji ya kuoga yanatiwa ndimu matokeo yake ndiyo hayo
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,672
  Trophy Points: 280
  maji ya kuoga wao hutia hiliki ,mwanaume hubebwa kwa mbeleko baada ya kuogeshwa...hayo ndio mambo ya waja leo waondoka leo!
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,672
  Trophy Points: 280
  mkuu Hospitali Teule ya Muheza ni kati ya hospitali zinazoheshimika mkoani Tanga, hivyo hakuna namna ya uchakachuaji wowote kwenye taarifa muhimu kama hiyo.
   
 8. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mh mbona tunakatishana tamaa.Nilikuwa na ratiba ya kuoa kule
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,672
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio hali halisi mkuu angalau sasa utaenda na tahadhari!
   
 10. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ni kweli vile vipimo unaweza kukuta sio muda mrefu kuna na tatizo lingine.

  Hizi habari nilipozisikia leo asubuhi sikuamini ila nilivyoona hii post ndio naanza kuamini. Kama ilivyo TZ takwimu nyingi ni za kupika na kwa vile tulishapika data kuwa UKIMWI unapungua ili kuwadanganya wafadhili wananchi ndio 'wakawasha moto' sasa matokeo yake ndio haya. Ni kilio zaidi ya hata hapa kwetu ambapo huwa 'mnatupa sifa mbaya' kuhusiana na kaugonjwa haka!

  Inaendelea kudhiirisha kweli kuwa "Tanzania ni zaidi ya uijuavyo"

   
 11. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wala shishangai kwa idadi kubwa kuwa waathirika. Kwa uhuni na ufuska unaofanyika baa, gesti, mchana kweupe. Baadhi mikoa watu wameangamia kama viwavi jeshi waliopuliziwa dawa. Watu wanzika na kusahau, wakubwa wakizima utasikia, kafa kwa shinikizo la damu n.k
   
 12. u

  ureni JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Huo ndio ukweli muamini msiamini suluhicho watz wenzangu tuache ngono zembe,wale wanandoa waheshimu ndoa zao,wale masingle jieshimuni na kabla ya kuoa au kuolewa kapimeni kwanza,na sio mheza penyewe hata hapa Dar,nilishawahi kuongea na lab tech mmoja wa hospital moja kubwa hapa dar aliconfirm kweli kabisa idadi ya walioathirika ni kubwa sana ukilinganisha na ambao hawajaathirika,habari ndio hiyo.
   
 13. LUPITUKO

  LUPITUKO JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Mkuu TZ ni nchi ya wasanii, ujue nini wafadhili wote waliokuwa wanafadhili mapambano dhidi ya ukimwi TACAIDS wamejitoa, sasa hizi takwimu zimejump ghafla toka below 10 per cent mpaka 75! Yaani wanataka kuonesha ukimwi bado ni tatizo ili wafadhili warudishe mahela, walikuwa wananeemeka sana na mahela hayo yasiokuwa mkaguzi vzr. Halafu eti wanaomba kupandisha bei ya vitu vya anasa kama bia na sigara ili wapate hela! Anyway cha msingi ni kujikinga na gonjwa hilo kwa nguvu na akili zako zote ila porojo za statistcs za ukimwi ni usanii mtupu wanaangalia upepo wa wafadhili.
   
 14. papason

  papason JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  hizo data si za ukweli! Hakuna nchi yoyote duniani yenye maambukizi ya ukimwi ya asilimia 75
   
 15. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila watu 100 wanaofika hospitalini hapo,watu 75 hukutwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI na baadhi SARATANI.

  Sio asilimia 75 wanamaambukizi bali ni idadi ya wanaofika hosp
   
 16. c

  collezione JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kaka fanya mahesabu... Ndo asilimia 75 yenyewe.

  Haha, hizo hesabu ndogo bwana mdogo
   
 17. c

  collezione JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mambo ya ngoma inogile hayo. Na baikoko
   
 18. H

  Haika JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Saratani asilimia ngapi? Hebu nyoosha hiyo sentensi wanaopimima baada ya kuumwa magonjwa mengine km TB homa fungus etc. Au wanaopima kwa hiari toka majumbani? Au wajawazito?
   
 19. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hiii issue msiingalie kimkoa hii issue ni janga la taifa..! tupunguze ufuska
   
 20. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,672
  Trophy Points: 280
  Haya ni matokeo ya takwimu kulingana na idadi ya watu wanaofika hospitaini hapo(Teule Muheza) na wala sio nchi nzima...
   
Loading...