Aibu:- Mungu utuhurumie...tuepushe na sodoma na gomorah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu:- Mungu utuhurumie...tuepushe na sodoma na gomorah

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ZionTZ, Apr 2, 2012.

 1. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii mbona imetoka siku nyingi!
  Pole.
   
 3. bigcell

  bigcell JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Shetani alimwambia MUNGU kuwa hii dhambi hakumfundisha binadamu sijui binadamu alijifunzia wapi au alipata akili hiyo wapi.
   
 4. j

  joely JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Warumi 1:24-27
  [SUP]24[/SUP]Kwa hiyo, Mungu aliwaacha waendelee kufuata tamaa mbaya za mioyo yao na kutenda matendo ya unajisi nakufanyiana mambo ya aibu katika miili yao. [SUP]25[/SUP]Hii ni kwa sababu walikataa ukweli ku husu Mungu wakaamua kuamini uongo; wakaabudu na kutumikia kiumbe badala ya Muumba ahimidiwaye milele! Amina.
  [SUP]26[/SUP]Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa. [SUP]27[/SUP]Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mke nani na mume nani hapo?
   
 6. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  CCBRT wanatibu macho vipi umeenda japo kujiangalia afya yako ya macho?
   
 7. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160

  Kwa Kuongezea hapa:-

  01 Wakorintho 06:09-10 inasema hivi ...

  "9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
  10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. "
   
Loading...