Re : Rais mstaafu benjamin willium mkapa mvivu wa kufikiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re : Rais mstaafu benjamin willium mkapa mvivu wa kufikiri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jonson, Apr 3, 2012.

 1. j

  jonson Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais mstaafu ben willium mkapa ameumbuka katika kampeni za uchaguzi zilizomalizika juzi huko arumeru mashariki kwa kusema eti vicent nyerere hajulikani kwenye ukoo wa nyerere wakati ukweli anaujua fika kuwa vicent nyerere ni mtoto wa mdogo wake nyerere na ndio maana siku ya mazishi ya baba wa taifa mkapa alimkabidhi vicent rambirambi kutoka serikalini.
  Sasa wana jamvi naomba nimuulize swali Benjamin Mkapa, HIVI BEN MKAPA ANAKUMBUKA ALIWATUKANA WA TZ NA KUWAITA NI WAVIVU WA KUFIKIRI?JE KWA NINI NA YEYE ASIWE MMOJA KATI YA WATZ AMBAO NI WAVIVU WA KUFIKIRI KWA KUSAHAU KUWA VICENT NI MTOTO WA NYERERE?
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nadhani kuna tofauti kati "KUFIKIRI" na "KUKUMBUKA"; Mkapa ana tatizo la kuwa na kumbukumbu iliyo sahihi yaani kukumbuka ,sasa hiyo inaweza kuwa sababu ya maradhi yanaoambatana na umri !! Tatizo hilo ndilo lililomfanya akamsahau Vincent ingawa ndiye aliyemkakabidhi rambi rambi kwenye kulio.
   
Loading...