Kama uamini sala na maombi yamempa ushindi mh joshua nassari soma hapo chini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama uamini sala na maombi yamempa ushindi mh joshua nassari soma hapo chini!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 2, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. T

  Twaa Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama kilio mpiganaji aliembariki Nassari na hatimae kuwa mbunge! ''tulianza na Mungu tutamalizia na Mungu'' people's poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
   
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nimeamini CDM ni chama cha kidini! Kwani maombi hufanyika live na hata viongozi wake 99.9% niwakristo.Kudai sio chama cha kanisa toeni udhibitisho,kwani hadi sasa wanaushirikiano wa bega kwa bega na chama cha kikristo cha CDU cha Ujerumani.Hadi sasa CDM imeshindwa kuonesha haina mlengo wa kikristo.Kwa hoja ya kukubaliwa chama na baadhi ya waislam ni kwamba waislam hao wamevutwa na hoja zilizopangwa vizuri,hususan maisha magumu na ufisadi wa CCM. Waislam pnpote walipo wajue wanalamba sukari ambayo ni sumu kali.
   
 4. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hili si jukwaa la uongo so japokuwa si mwanachadema bt sipendi kabisa siasa ziwatenganishe wa TZ ndo mana mara nyingi nawapinga baadhi ya mashabiki wa CDM wanaojenga tabia ya kudhalilisha dini flan,naomba nijibu maswali yangu mawili ili nikiri kuwa kuwa sifahamu ulichoandika
  (1) kokotoa kwa kutumia kanuni uliyotumia ili nithibitishe kuwa 99.9% ya viongoz wa CDM ni wakristo(onesha njia kwa ufasaha).
  (2) taja shida watayoipata waislam ambayo hivi sasa hawaipati ikiwa CCM itang'olewa mamlakani.
  wote mnaoandika maneno ya kishabiki ya kidini naamini hamjawahi kushuhudia madhara yake.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Unataka sala zifanyike kwa siri kwani sisi wachawi?????????????
  Kwani umelazimishwa kujiunga na CDM mpaka unaforce uthibitishiwe ???
  Nenda kajiunge na NRA malaria Sugu.
   
 6. n

  nketi JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna tofauti gani kati ya ccm-a na ccm-b(cuf)? Mi naona wote ni walewale na wachovu tu ila wanatofautiana majina.
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Washabiki wa chadema bana! mkiitwa wadini mnatukana; lakini nyie kila siku mnawaita wenzenu wadini

  mkuki kwa nguruwe
   
 8. m

  mr who Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mbona mkiambia cdm kuna kamfumo kristo mnakuwa mbogo, hoja ni kuuliza kwanini kasema hivyo, pia suala la kuswaliwa mtume limetokea wapi? au ndio udini wenu mnaanza kuutoa?
   
 9. KATATANAMA

  KATATANAMA Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili neno la udini alilipa nguvu Kikwete katika kampeini zake za 2010 hili kupunguza nguvu ya vyama vya upinzani. Dini ya mtu haiwezi kutusaidia kutatua matatizo yetu kama watanzania. Tunacho hitaji ni chama chenye mlengo wa maendeleo na kinachoweza kutatua kero zetu, kiwe na dini au kisiwe na dini, tunachotaka ni kupata viongozi bora wawe wana dini au wasiwe na dini. Viongozi mafisadi waliotufikisha hapa tulipo wote wana dini ni ama Wakristo au Waislamu. Je, dini zao zimetusaidia nini kama watanzania. Lazima tubadilike na kutoka katika fikra na mawazo mgando.
   
 10. t

  tiamo New Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kila mtu anadini yake na anaamini kwa MUNGU wake mwenye nguvu, hv chadema wakiwa wote wakrist so wat? au wakiwa wote waislam so wat? au wakiwa wot wapagani inatusaidia nn? tunacho itaji ni kiongozi makini atakae litoa taifa letu sehem moja kwenda nyingine yenyemafanikio
  tubadilike wi need cheng na sio majungu na mambo ya kipuuzi,
   
 11. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nathani haya ni mawazo mgando. Unongelea udini Tanzania ya leo? Think twice!:nono:
   
 12. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Toka hapa na udini wako, kashikane na Jussa msitupakazie CDM. Shenzy type!
   
 13. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,074
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  mpuuzi kabisa wewe ss unataka maombi yafanyike wapi? cdm kila mtu anaruhusiwa kuamini anachokiamn hata kama angekua muislamu angeruhusiwa kufanya anachotaka peleka unafiki wako huko kinakuuma sana bwana mdogo joshua kushinda
   
 14. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chadema haina hata chembe cha udini na haiabudu udini wowote na tena waislam wanaipenda chadema kupita maelezo sababu kubwa ni sera za chadema na kuwapenda wananchi wote.
   
 15. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Katika hilo umenena kwani dinĂ­ ya mtu haita tatua matatizo yanayotukabili.jamani watanzania tubadilike tuache kulala kijinga.kama suala la dini kila kinawanachama ambao wanaamini katika dini mbalimbali.
   
 16. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kaka acha uvivu wakufikili.
   
 17. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hebu turudi kwenye hoja badala ya kuingia kwenye upofu wa mtoa hoja na kuanza kujadili hisia. Tujiulize ni nani mwenye dini kati ya CDM na huyo bibi, CDM kama chama hakina dini ila wafuasi wake wana dini (waislam, wakristo nk nk), kila mwachama ana haki ya kuchangia chama kwa hali na mali, huyo bibi aliyefanywa maskini na sera za ccm hakuwa na mali ya kuchangia bali alitoa kile alichokuwa nacho. Sasa kusema CDM ni wadini eti kwa vile mgombea wake alipokea mchango wa huyo bibi ni upotoshaji wa ukweli uliopitiliza
   
 18. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  KATIKA MILA NA DESTURI ZA WATANZANIA WENGI - WAZEE [WABIBI/WABABU] AKIKUBARIKI - HUSHIKA KICHWA - HAPO KWA MTAZAMO WANGU NAONA NI KUMWOMBEA BARAKA MPIGANAJI - ASANTE BIBI KWA BARAKA ZAKO - NA PIA KWA MPIGANAJI KUWA MNYENYEKEVU KUKUBALI KUSHIKWA KICHWA CHAKE ........KWELI JOSHUA NASSARI NI MNYENYEKEVU .......... NI WANGAPI WANGEKUBALI??? WENGINE WANAANGALIA MATAJIRI TU.........:smile-big:
   
 19. U

  Uwilingiyimana Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  foolish. Kanisa gani sasa? Hujui kama kuna several denominations katika ukristo, kama ilivyo katika uislam? We umesomea wapi? Kama huwezi kuona ukombozi wa kweli katika cdm then u r doomed bro!
   
 20. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Ukisikia kauzu-mtindio ndo wewe haswaa! Mtoa mada anasema anaamini "SALA NA MAOMBI" au nyie mnaita "DUA" ndivyo vilimpa ushindi Joshua. Kama ulifuatilia kampeni karibu kila mahali alikokwenda aliombewa na watu wa imani mbalimbali: Wakristo, waislam na hata wa dini za jadi. Udini unatafsiri gani kwako? Au yule sheikh aliyemshushia dua alikuwa dhehebu gani la kikristo? All those of your type are a serious disgrace to this nation. Shame on you.
   
Loading...