Dada aponea chupu chupu kutapeliwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada aponea chupu chupu kutapeliwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakuruvi, Apr 3, 2012.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sio hadithi ya kutunga ila kwa maneno yake mwenyewe anaandika na ninamnukuu "[h=6]Back from China... 2 times walitaka kunitapeli ktk vi-bureau de change vya mtaani.
  1st attempt wali temper na calcuator inakupigia eg 6 x 8 inakupa 42 then anakulipa iyo amount ambayo ni ya uongo badala ya kukulipa ile halisi,so u need to carry ur own calculator and second attempt time wali-temper na ile money counting machine lets say ukitaka ku-change hela upate 2000 badala ya kuweka noti za 100 ziwe 20 ile counter machine anaiweka namna ambayo noti 15 yenyewe inakwambia noti 20 ambayo ni sawa na 2000,then ukitoka hapo unakuta umepungukiwa hela.Anyways kuna alot of utapeli kwa wale wazoefu wa biashara uko wanaweza ku-share zaidi ili na wengine waweze kuwa makini.Thank God am home safe!"
  [/h]kuweni waangalifu ndugu kwani wenzetu nao wana matapeli

  [Matapeli - Vijana Orchestra] (Chorus) [Wote] Bwana Mangushi nakupa pole kaka Watu hao ni walaghai....walaghai Wanaitwa MATAPELI eee EE Wanaitwa Tapeli kaka [Mmoja] Watu hao wameenea sana, kila pembe hapa mjini Kazi yao kuibia watu jina lao MATAPELI
   
Loading...