Ttcl Customer care vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ttcl Customer care vipi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Donkey, Apr 3, 2012.

 1. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Hivi kweli TTCL customer wanafanya kazi kwa kusimamiwa au. Ni wiki mbili sasa nin tatizo la kuweka pesa kwenye moderm.kila nikataka kuweka inakuja voice massage kuwa simu yangu imezuiwa.nimepiga customer nakutana na watu tofauti.kwanza niliambiwa itakuwa tayari within 24 hrs .kesho yake nikapiga tena wakasema itakuwa baada ya nusu saa.baadaye kupiga naambiwa baada ya saa moja.kupiga tena naambiwa ngoja nifuatilie.almost two weeks now nothing work to moderm.je TTCL wanafanya biashara au wanatoa msaada.mtapaje pesa kwa kushindwa kuwahudumia
  wateja wenu.kampuni ya wazawa mmeshindwa ushindani au ni hujuma
   
 2. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  duhh pole san bro, nami niliwahi kuwa na tatizo kama hilo, chanzo halisi nilikuwa nataka nitumie ktk mitandao mingine, matokeo yake ilikorofisha na kupata hicho unachosema wewe, njia niliyotumia nilikwenda na mordem yangu ktk ofisi za customer center yao (inategemea uko wapi) waliichukua na kuirekebisha upya , nakushauli usipige simu nyanyuka na hiyo kitu wafuate ofisini kwao.
   
Loading...